Hii ni kweli, Kuna Mkenya ananiuziaga Suruaji za Jens ananitumiaga yaani aisee ni gred sana ingawa na bei yake imechangamka sana make inaaziaga 30,000, na kuendelea ila ni quality haswa.
Nawasikiliza sana wanasiasa wanavyo hadaa Wadanganyika kwamba wajiandae sana na Afcon na hata Mahoteli hayatatosha na wlmashabiku wengine watalala majumhani mwa watu. Hizi ni propaganda.
Hizi ni propaganda za kijinga sana.
Tujiulize swali rahisi sana Tanzania ilipeleka mashabiki kiasi gani...
Ma consultance wa Makonda hawalali yaani wana kesha usiku kucha kumpa Makonda mbinu.
Makonda kaambiwa Mali asili na utalii ndiko hasa panamfaa ndiko kwenye mafuta, na ili aingie huko aanze kufanya harakati mbazo mnaziona kwa sasa hivi. Hao wastafu wa Soka anao waleta sio kwa lengo la michezo...
Hawa LATRA Arusha ni kama wana share kwenye vyombo vya usifiri au kuna bahasha wanapitiziwi ili wakae kimya.
Nauli mpya zimeanza kutumika mei mosi, ila cha ajabu Arusha ndio sehemu pekee Dalaladala wana kiwamgo chao cha nauli nje ya nauli zilizo tolewa na LATRA na mbaya zaidi LATRA wapo...
Hakuna hata kwa nchi za Kiafrica Serikali inayo promote Uchuuzi, ni Tanzania pekee ndio kuna hii Sera ya kupromote kwa nguvu sana uchuuzi/umachinga
Serikali zote Duniani zinatamani Raia wao wajikite kwenye uzalishaji, zina piga sana vita uchuuzi ingawa upo ila sio Sera ya yao.
Serikali zote...
Accra Ghana kuna nini huko? hizi ni njia ambazo baadae kwenye report tunaambia hasara, wenzako wana njia zile za pesa mingi kama njia za Ulaya na Marekani nyie mnakomaa na njia za kimasikini
Mkuu wekeza kwenye mazao ya kilimo cha chakula hata hasa ya mda mrefu, Hizo mikonge zina altenative nyingi sana, demand yake sio kivile, Chakula hakina mbadala wake. Ila iwe mazao ya mda mrefu
Kilimo ni Biashara, Sasa jiulize watu huko hawaoni gaida kulima? Mbolea inaweza fuatwa hata Kahama kama mtu anataka kuwekeza kweli, tupunguze mindset za ujamaa,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.