Recent content by murume

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kuhusu kikokotoo cha mafao ya kustaafu

    Mkuu kuna hizi watu walikuwa ppf alafu wakahamishwa nssf kwa mashirika binafsi hivyo unakuta kule ppf walichangia zaidi ya hiyo miaka 15 alafu huku nssf anakama miaka minne alafu kulikuwa na deal ppf watu wakachukua hela yao yote wakabaki za nssf ila hawakupewa na riba swali langu ni je...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mnachokifanya NACTE ni wizi

    Mimi Nina mwanangu kapata division one ya 14 combination ya science form four Ila aliomba chuo .wamempangia kusoma nursing na yeye hataki chuo cha same yeye anataka clinical medicine na hicho chuo alichopangiwa hakina clinical medicine.aliomba kcmc akapata pharmacy Ila sasa Ada yake ikawa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kubadili chuo kwenda Advance?

    Hivi naomba kuuliza kwa waliopangwa chuo na serikali, ada zao zinakuaje ni nafuu au? Na je chakula wanalipiwa na serekali au
  4. M

    JamiiForums Tanzania Microfinance zinaibia wateja

    Naomba kujua kama kuna taasisi yoyoto ya Serikali inayosimamia (oversight) hizi microfinance kwani Kuna moja naona inatuibia hasa kwa kuwa ina mikataba ya pande moja yaani wakikusainisha mkataba hawakupi muda wa kuusoma na pia copy yako ya mkataba hawakupi, interest kubwa kwa mwezi na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kozi za afya zenye ajira haraka

    Mimi mtoto wangu kafaulu vizuri ni wa kike kapata div 1 ya 14 combi ya science ila nilitaka aende 5 kwa kuwa yy alitaka Kuwa doctor. Ila selection iliotoka kachaguliwa kwenda chuo nursing cha same naomba kuuliza abadilishe course aombe pharmacy kwenye chuo kingine au clinical au engineering au...
  6. M

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI inakuwaje mtu kafaulu zaidi masomo ya Sayansi halafu ninyi mnampangia HGL, masomo yenye ufaulu hafifu?

    Hata mimi wangu kafaulu vizuri combi ya science na alitaka clinical medicine ila kachaguliwa nursing na midwife kwenye chuo ambacho hakukichagua Sasa sijui tufanyeje. Ila Kuna mdau kaniambia naweza fanya application on line kwenye vyuo vya serekali vinavyo offer diploma in clinical medicine kwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Bar ya Picnic Arusha Kuna wizi kuanzia wahudumu, Wateja Wanawake mpaka Bodaboda Wanaopaki nje

    Anaitwa bodea na kwelii kapungua Sanaa ila picnic hata waisemaje miaka yote inajaza. Siri kubwa ni wahudumu walivyo Kwanzaa wamefungasha, mavazi yenyewe hivyo visketi vifupii usiombe alafu wengi kwa muonekano wazuri na huo ndio ugonjwa wa wanaume wengi walevi hivyo kukosa wateja sahau pale Kuna...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    Ni private au government mkuu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    Thanks mkuu vyuo gni aombe hivi arusha Kuna chuo kinaoffer pharmacy?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    Inalipa na kazi zinapatikana?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    Arusha mkuu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    [emoji120][emoji120] Unaweza kunipa just estimation ada na vinginevyo coz ndio my first daughter ili nijue mapema
  13. M

    JamiiForums Tanzania Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    Mimi binti yangu kapata div one ya 14 combination ya science naomba ushauri Kuna wanaonishauri aombe vyuo ili apige diploma ya clinical alafu baadaye akipata ajira apply degree ya medicine au engineering hivyo hivyo na kunawengine wananiambia nimuache aende five na six ila kunakutoil Sana kwenye...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Msaada simu yangu imekataa kufungua app zote za Google

    I natumia Android 8 mkuu
  15. M

    JamiiForums Tanzania Msaada simu yangu imekataa kufungua app zote za Google

    Wakuu naomba msaada simu yangu Huawei Y7 2018 prime imekataa kufungua app zote za Google na ku sync data pia kila nikiingiza email yangu ya account ya Google na password inakubali ila inaleta error ya we can not find an eligible device. Msaada plse kwa anayejua. Cc chief mkawa
Back
Top Bottom