Recent content by murumbasi

  1. M

    Jengo la Mwalimu Julius Nyerere lazinduliwa Ethiopia

    Vizuri sana. Kweli Mwalimu amefanya mengi na hata Marais waliopo madarakani bado wanamkumbuka jinsi alivyokuwa mstari wa mbele kwa ajili ya ukombezi wa Bara la Afrika. MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI AFRIKA. AMEN
  2. M

    Rais Kikwete aanza maandalizi ya kuaga

    Nashauri kwa muda uliobaki atembelee miradi iliyotekelezwa mwaka 2012 mpaka 2013 ili wananchi pia uulize maswali kama Rais wetu.
  3. M

    Kama kuna Polisi mwenye Division One, basi vyeti si vyake

    Wapo wengi wenye div. one. Hawa ni wale walioajiriwa wenye shahada mbalimbali. Tusiwadharau Polisi wengine ni wasomi kweli kweli. Ila ukiwa msomi utajutia usomi wako. Kupanda cheo ni kazi.
  4. M

    Watu zaidi ya 30 wahofiwa kufa maji baada ya boti yao kuzama ziwa Victoria

    Goziba ni kwa Mhe. Mwijage. Lazima aende huko ili akawape pole ingawaje kwenda Goziba huchukua masaa kumi kwa boti ya kawaida na kuna upepo mkali sana.
  5. M

    Kwanini benki hakuna vyoo/maliwato kwa ajili ya wateja?

    Siyo kweli kwa Benki zote. Benki ya NMB Bunda choo kipo.
  6. M

    Muswada wa Mahakama ya Kadhi kutikisa Bunge

    Mambo bado mbichi kabisa. Serikali itafakari kwanza jambo hili litakuja kuiletea CCM madhara makubwa.
  7. M

    Wakenya ni watu wanafiki sana

    Mimi nimesoma nao ni watu wanojikweza sana. Mkenya mkifanya naye biashara ujue utaliwa tu. Siku za mwanzo atakuwa rafiki yako kweli baadaye unapompa mzigo wa millioni kama hamsini basi hutamwona na ataingia mitini. Ukimfuatilia ataqkutishia kukuua. Ogopa sana watu wa Kenya. Msifanye nao...
  8. M

    Mgomo wa daladala jijini Mwanza

    Mimi binafsi leo nimepata taabu ya mwaka wakati nilipokuwa mjini na gari langu ndogo. Barabara ya kutoka mjini kuja Nyakato na ya Nyerere Road haipitiki. Kuna Mabus mengi yamesimama Nyerere Road tangu saa mbili asubuhi yakielekea Musoma, Sirari, Bariadi hakuna njia ya kupita. Watoto wanalia na...
  9. M

    Tumepata wapi upofu kutoona aliyofanya Maswi?

    Maswi ameonewa sana. Yale aliyotekeleza Maswi ni Maagizo kutokana na barua ya Werema. Maswi ni JEMBE. Aliyoyafanya Maswi mmeyaona na mtazidi kuyaona, ni vyema akarudishwa kwenye madaraka yake mara moja.
  10. M

    Currency crises: Are we heading the Russian way?

    BOT Governor is Professor Benno Ndulu the renowned Economist whereas the Tanzanian currency has depreciated at alarming rate. Mr. Governor please take action like your counterparts in Kenya and uganda.
  11. M

    UFAFANUZI: Kwanini WASOMI wengi wapo upande wa UPINZANI??

    Wasomi wengi wapo upande wa upinzani kwa sababu ni waelewa, wachambuzi wa mambo, wanajua nchi inaelekea wapi, wanajua umaskini umeletwa na watawala na wana uchungu na nchi yao inayoitwa MAMALAND.
  12. M

    Tabia za wanaoandikia kushoto

    Mhe. Uhuru Kenyatta anaandikia kushoto. Vipi tabia yake?
  13. M

    Mh. January Makamba, urais sio sawa na kucheza filamu

    Huyo ni limbukeni. Kupewa Unaibu Waziri anaona kupata Urais ni kazi nyepesi.
  14. M

    Je ndani ya Mwezi mmoja na nusu tunaweza kuandaa Kura ya Maoni? Bila ushabiki tujadiliane

    Kwa hali ya kawaida KURA YA MAONI haiwezi kufanyika kwa sababu SERIKALI haijafanya maandalizi ya kutosha. Naomba wananchi wasiburuizwe hivyo KURA YA MAONI inataka maandalizi makubwa na ya kutosha.
  15. M

    Profesa Mujinja kugombea Musoma

    Asipoteze muda wake. Atakuja kuaibika vibaya.
Back
Top Bottom