Katika majirani wanafiki tulio nao, Kenya wanaongoza. Wana wivu sana na amani yetu, utulivu wetu na umoja wetu. Mara kwa mara wamekuwa wakiandika habari hasi kwa lengo la kutuchafua, ni wakati sasa serikali ifanye maamuzi magumu iwarudishe wakenya wote kwao hasa wale wanaofanya kazi hapa Tanzania ili wakome na unafiki wao.