Profesa Mujinja kugombea Musoma

Profesa Mujinja kugombea Musoma

SOCIOLOGISTTZ

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
2,615
Reaction score
929
Kuna tetesi kwamba Profesa Mujinja wa Muhimbili University atagombea Ubunge wa Musoma Mjini kupitia CCM. Marafiki zake wa karibu wamenitonya kuwa alishawishiwa na wasomi kadhaa wa Musoma akiwamo Prof. Muongo. Na zoezi hili la kumshawishi limefanyika kipindi cha mapunziko ya krismasi na mwaka mpya. Katika kushawishiwa huko Profesa Mujinja amesema apatiwe muda wa kufikiri kwanza kama ataendelea na taaluma yake au ataingia siasa, alinidokeza mtonyaji huyo. Haya sasa kama akikubali atapambana na Kamanda Vicent Nyerere wa Chadema.
 
Haisaidiiu. Aendelee na kazi yake tu. Kugombea ccm ni kupoteza muda. Watanzania hawatishwi na neno professor. Ma professor hawajajenga picha nzuri hata kidogo katika tasnia hii.

Mifano tuliyonayo ndiyo itakayowafanya wananchi wakampigie kura ya hapana kwa hasira.

Professor Jakaya Kiketwe mchina - ccm

Professor Muongo mwenyewe - ccm

Professor Tibaijuka Escrow, - ccm

Professor Maji Marefu - ccm

Uprof siyo dili kwenye hii habari. Ni vema aendelee na taaluma yake tu.
 
Kuna tetesi kwamba Profesa Mujinja wa Muhimbili University atagombea Ubunge wa Musoma Mjini kupitia CCM. Marafiki zake wa karibu wamenitonya kuwa alishawishiwa na wasomi kadhaa wa Musoma akiwamo Prof. Muongo. Na zoezi hili la kumshawishi limefanyika kipindi cha mapunziko ya krismasi na mwaka mpya. Katika kushawishiwa huko Profesa Mujinja amesema apatiwe muda wa kufikiri kwanza kama ataendelea na taaluma yake au ataingia siasa, alinidokeza mtonyaji huyo.Haya sasa kama akikubali atapambana na Kamanda Vicent Nyerere wa Chadema.

Mwambie aendelee kuosha vidonda muhimbili anatafuta aibu, huyu amezaa na mwanae.
 
Kuna tetesi kwamba Profesa Mujinja wa Muhimbili University atagombea Ubunge wa Musoma Mjini kupitia CCM. Marafiki zake wa karibu wamenitonya kuwa alishawishiwa na wasomi kadhaa wa Musoma akiwamo Prof. Muongo. Na zoezi hili la kumshawishi limefanyika kipindi cha mapunziko ya krismasi na mwaka mpya. Katika kushawishiwa huko Profesa Mujinja amesema apatiwe muda wa kufikiri kwanza kama ataendelea na taaluma yake au ataingia siasa, alinidokeza mtonyaji huyo.Haya sasa kama akikubali atapambana na Kamanda Vicent Nyerere wa Chadema.
Huyu ni mwanangu na nampenda sana lakini ningemshauri (kama atauliza ushauri wangu) aachane na ndoto hii. Musoma mjini haiwezi kutoka mikononi mwa Vincent Nyerere. Naona CCM wana haha kutafuta mgombea atakayewarudishia kiti Musoma. Musoma hairudi tena CCM
 
Kuna tetesi kwamba Profesa Mujinja wa Muhimbili University atagombea Ubunge wa Musoma Mjini kupitia CCM. Marafiki zake wa karibu wamenitonya kuwa alishawishiwa na wasomi kadhaa wa Musoma akiwamo Prof. Muongo. Na zoezi hili la kumshawishi limefanyika kipindi cha mapunziko ya krismasi na mwaka mpya. Katika kushawishiwa huko Profesa Mujinja amesema apatiwe muda wa kufikiri kwanza kama ataendelea na taaluma yake au ataingia siasa, alinidokeza mtonyaji huyo. Haya sasa kama akikubali atapambana na Kamanda Vicent Nyerere wa Chadema.

Namshauli aendelee na taaluma yake asije chafuka kama maprofesa wenzake
 
Kama Kazaa na mwanae hiyo ni kashafa kubwa sana, kwa Mara hawataka kaa kimya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom