Kwa ufafanuzi huu nimeelewa sasa, nilikua najiuliza sana tuhuma kama hizi za kujibiwa haraka na tume kwanini hua zinacheleweshwa kujibiwa, Tume inapaswa kuwapongeza sana Ukawa, kwani ni sawa na darasani mwanafunzi anayependa sana kumuuliza maswali mwalimu wake hapaswi kuchukiwa zaidi huyo...