Tujiulize Pamoja! Ni Coincidence au MUNGU Ameongea?

Tujiulize Pamoja! Ni Coincidence au MUNGU Ameongea?

Inasikitisha sana kama sisi wananchi wenyewe tutawatetea wezi tunasahau kua kamati zilitumia pesa kufatilia waliokula pesa za escrow leo tunaanza kutetea ujinga, na kama hautambui mchango wawatu kama akina Kafulila bungeni katiba kutuwakilisha wananchi inabidi ukapimwe akili kwa vyovyote utakua haulitaki mema taifa la Tanzania, kuliko huyo prof ni mara kumi bora sendeka.
 
Back
Top Bottom