Habari za leo wakuu,
Jana Mhe. Mrisho Gambo, mkuu wa mkoa wa Arusha alitembelea Ngaramtoni kwa ziara ya kikazi.
Mi naomba Mhishimiwa uwe unakuja kuja huuku ili tuwekewe lami kabisa. Maana kuja kwako ndiyo mafanikio yetu. Afu ukija kuna nyama choma tamu sana.
Njoo tena Rais wetu
No Pain, No Gain
Huyu amepata matumaini ya dawa mkuu. Ndio maana hana wasix2.
Lakini pia, watu tunatofautiana kuhimili maisha baada ya kupima +ve vvu. Kuna namna tunayumba na kubadili lifestyle. VVU ni mpango mmbaya sana wa mashetani weupe, kutumaliza. Kuukwepa hayitaji baraka za M/Mungu na si vingine.
No...
Mkuu nimependa jibu lako zuri kabisa.
Ila... Mi ni 'ke & nakupa maneno flani ya busara nlopata kuambiwa na mzee nnayemuheshimu. Alisema hivi "kuoa/kuolewa ni biashara kubwa na huhitaji watu makini kufanya biashara hii, hivyo kama zilivo biashara nyingine huanzi kumpenda business partner ndio...
Tuungane kwenye hili kama Taifa watanzania wenzangu. Tuwe wamoja kwani ni maslahi yetu hayo.. Haina haja ya kupinga. Sii bure tuliitwa "MALOFA". Ndio naelewa sasa.
Yani katika mambo ya msingi kabisa yanayohusu Taifa watu wanaleta ubishi usio na tija, kama c "ULOFA" itakua nn?
Kila mtu hula urefu wa kamba yake. Hata ww ungepewa mwanya ungepiga saizi yako. Cha msingi saivi ni kushinikiza mabepari watulipe chetu. Hayo mengine hayatuhusu, azawais ni wivu tu!
Duh! Mkuu hata baba anakosea lakini haombi msamaha direct. Ataomba kwa vitendo. Tumsapoti kwani hii ni mali yetu sote. Sasa tukimsusia ndio tunafaidika nini?
"Usigeuke nyuma, utakuwa jiwe la chumvi!" hayo ni maandiko kutoka kwenye biblia... Ukisema tunawalipa viongozi ili kutuletea maendeleo na wameshindwa, je wewe mlipa kodi umemuajibishaje huyo kiongozi wako?
Kukosea si kosa, bali kurudia kosa. Tuweke tofauti pembeni tujumuike sote kudai chetu...
Ndio tuanze kuonyesha huo uzalendo kwa kuungana tuwe kitu kimoja kudai chetu. There's always a starting point in life. Hata ww ulianza kuwa yai kabla hujazaliwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.