Recent content by Muota Ndoto

  1. Muota Ndoto

    Kama nyumbani kuna panya na huna paka fanya hili utakuja nishukuru

    Hao ambao wanakimbiza paka, hii teknolojia haiwahusu
  2. Muota Ndoto

    Kama nyumbani kuna panya na huna paka fanya hili utakuja nishukuru

    Wadau, moja kwa moja kwenye mada: 1. Utangulizi. Maendeleo ya teknolojia huenda yamewafikia panya wasumbufu na waharibifu majumbani mwetu. Siku hizi wanakwepa mitego, wanatambua na kukwepa sumu na huku wamezidisha chokochoko na kujengeana hasira. Mtu ukiwa na bunduki waweza jikuta unamfyatulia...
  3. Muota Ndoto

    Salary slip ya mwajiriwa fulani serikalini. Umejifunza nini kutoka kwa huyu kamanda?

    Nilichojifunza: 1. Kama ametumia huo mkopo kujengea nyumba, anailipia Kodi ya 451K na baada ya miaka michache nyumba itakuwa yake. 2. Kama amewekeza kwenye biashara yenye faida zaidi ya 451K kwa mwezi, mapato yake hayajaathirika na baada ya miaka michache atakuwa anajilipa nusu ya mshahara wa...
  4. Muota Ndoto

    Hivi ambao si Wachagga huwa wanajisikiaje wakiona Wachagga wakihangaika kwenda makwao Desemba?

    Pamoja na safari hizi kuhusishwa na Uchagga, mimi naziita "The Great Annual Festival Trek" kwa Tanzania. Zinazidi kubeba taswira ya utaifa kutokana na kuoleana na influence walizo nazo wachagga kwenye familia zao wawe wanaume au wanawake. Zimekosa tu "Promoter". Ni hivi mimi nimetoka Mbeya kuja...
  5. Muota Ndoto

    Mvua Kubwa inanyesha Dar tangu usiku wa manane

    Wanabodi, imekuwa siku mbaya sana kwangu na wengi ninaowashuhudia katika barabara ya Ally Mwinyi. Kupigana pasi, kuzimika magari, bodaboda kuanguka-kuinuka-kuanguka tena, misafara isiyofuata taratibu, maandamano yasiyo na kibali toka kila pande za mjini kati nk. Kifupi mvua imetukomesha wengi.
  6. Muota Ndoto

    Tatizo la Kukojoa Kitandani kwa Watoto - Ushauri, Tiba na Namna ya Kukabiliana Nalo

    Wakuu heshima kwenu. Naomba yeyote anayejua dawa yoyote ya kutibu kikojozi anishauri. Nina mwanangu ana umri Wa miaka 11 bado anakojoa kitandani. Juhudi za kumsaidia aache ikiwepo kumwekea alarm zimeshindikana. Nawasilisha.
  7. Muota Ndoto

    Ni rahisi sana kupata first class Ukiwa UDOM kuliko UDSM, IFM, SUA na Mzumbe. Inaonekana Walimu wa UDOM wanafundisha sana

    Wewe utakuwa unazungumzia UDOM ya Central African Republic. UDOM ya Tanzania na haswa Idara niliyopo First Class ya Kwanza na pekee baada ya miaka 10 ilipatikana mwaka jana. Lakini sasa, wana UDOM wenye GPA za 2.5 wanawashinda wenye GPA za 4 kutoka vyuo vingine vikiwepo ulivyovitaja inapokuja...
  8. Muota Ndoto

    UHAMISHO JULAI 2018

    Una maanisha TAMISEMI au vinginevyo? km ni hao kwa kweli wanaboa na wameshindwa kwenda na kasi ya Mhe Jaffo. Utaratibu wao ni kutoa majina Januari na Julai. Nimepata taarifa majina ya Julai yatatoka Septemba 2018.
  9. Muota Ndoto

    Video: Wasomi wetu UDOM wakishindwa kutaja kirefu cha ATM

    Kwa uzoefu wangu hapa JF, "application for admission" ikishafunguliwa tu na TCU ndio hizi threads za kipuuzi huibuka. UDOM bado ni tishio na itaendelea kuwa tishio. Naamini katika 10 aliowahoji huyo mtangazaji uchwara, 8 au 9 walijibu vyema ila yeye kachukua wale waliokosea. Afisa Uhusiano wa...
  10. Muota Ndoto

    Tanzia: Mwanafunzi wa UDOM afia juu ya kifua cha mwanamke wakati wa Tendo pendwa

    Hii habari ni vigumu kuaminika. Lengo lako ni kuchafua chuo cha Taifa. Chuo cha Taifa hakina faculties.
  11. Muota Ndoto

    CRDB acheni kuwasumbua wateja wenu bila sababu za msingi

    CRDB wanakatisha tamaa. Nina akaunti ya USD. Kinachoendelea sasa ni wazi tunagawana kilichopo. Makato ya ku draw hela ni mara 30 ya akaunti ya Tshs.
  12. Muota Ndoto

    Barua ya TANESCO hii Hapa kwenda EWURA na Wizara ya Muhongo; Muhongo na Bosi Wako Muogopeni Mungu!

    Mimi nakumbuka Mramba alivyokuwa anaamshwa usiku wa manane, kutoa sababu kwa nini kituo X, ndani huko kijijini hakikuwa na umeme. Alikuwa anajitahidi sana kutoa majibu. Tenda wema uende zako usingoje shukrani. Imeniuma sana ingawa pia sikutaka ongezeko la bei.
  13. Muota Ndoto

    Mikoa ya Dar es Salaam na Dodoma yaongoza kwa mapenzi ya jinsia moja

    KUNA UHUSIANO WA KARIBU KATI YA DAR NA DODOMA HASWA KATIKA BAADHI YA MISIMU (EMIGRATION & IMMIGRATION). UTAFITI ZAIDI UNAHITAJIKA.
  14. Muota Ndoto

    Serikali na Wanaharakati za Watoto Wazuie Hili

    Wadau, kuna habari imetoka Radio Free Africa kwenye kipindi cha matukio leo asubuhi (21 Julai 2016) kwamba kuna mkazi mmoja wa Singida anatarajia kusafiri na baisikeli hadi Dodoma pamoja na mwanae mdogo kuhudhuria mkutano mkuu wa CCM. Umbali toka Singida hadi Dodoma ni karibia kilometa 250...
Back
Top Bottom