Recent content by Munyaluganda

  1. M

    JamiiForums Tanzania Urithi wa Baba

    URITHI WA BABA Kuna watu husema kwamba nguo ni nguo tu hata iwe ya namna gani, ni kweli huo ni mgororo wa nafsi kabisa kwani si uungwana kuingilia mawazo ya mtu ila leo acha twende mbali kidogo Joho lina maana kubwa mno. Joho ni vazi la kiafalme lenye kubeba maana kuu ya heshima. Viongozi wa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kuna Jambo Pesa haiwezi kununua

    Naomba jibu lako muungwana.Kati ya kumpa pesa mwanamke ila usioneshe upendo kwake na kuonesha upendo wa dhati kwa mwanamke lakini usimpe pesa ni sababu gani kati ya hizo mbili inaweza kumfanya mwanamke kurudi nyumbani kwao.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kuna Jambo Pesa haiwezi kununua

    upo naelewa ila madhara yake naamini hata wewe unayajua
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kuna Jambo Pesa haiwezi kununua

    Wanadamu wengi tumerithi kwa walezi wetu fikra isemayo kwamba ukiwa na pesa unaweza kununua chochote ukipendacho kwa sababu tulishuhudia kumuona tajiri wa mtaa akisumbua atakavyo wakati tulipokuwa wadogo ila wengi hatukufundishwa kutambua kuwa ndoa ni ya mtu bali msiba ni wa watu. Ndoa ni...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Watu gani wanakuzunguka

    Wakati nikiwa darasa la saba tulikuwa na mtihani uliokuwa ukijumuisha shule zote za kata ulioitwa “KALABAZOLA”. Neno hili ni neno la Kisubi lenye maana halisi ya Kiswahili TUTAWAONA kwa sababu nilisoma kijijini sana hata lugha ya Kiswahili kwetu tuliiona kama lugha ya wageni kwa sababu hata...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Chozi la Damu

    Sheheni za siraha, dunia uwanja wa fujo, Atomiki makombora, jehanamu ya fumbo, Kisiwa cha miba, wenye nguvu ulimbombo, Utu umetoweka, mauaji kila uchao. Kiburi chao pesa, zilizofungwa kwenye fuko, Pesa dhihaka ya dunia, li wapi chimbo, Siraha za kisasa, mikogo yao matambo, Binadamu gunia sifa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Chalamila laana inaendelea kumtafuna

    Albert Chalamila Mhenga wa Kale Sijui unamfahamu mkuu wa mkoa aliyewahi kufukuzwa kwa kashifa ya mabango? Huyu bwana mimi namuita Mwamba kwa sababu kutimuliwa ukuu wa mkoa tena na mwanamke na akabaki bila kujinyonga kwa Mhehe sio jambo dogo kabisa na anakwambia kufukuzwa ni laana inayomuandama...
Back
Top Bottom