Mzee Wangu,
Hawa jamaa ni sikio la kufa,, hawasikii wala hawaambiliki. wameshauriwa sana ... wapi. sasa hakuna namna nyingine, ni kuwatupa tu kama jongoo na mti wake.
Hivi inakuwaje hiyo hali inafikia hapo,, miaka 4 upo tu unatazama!! hii ndoa ni yako au ya wazazi, inaonekana ulishauriwa uoe na sio maamuzi yako. simama kama mwanaume, usisikilize upuuzi wa mke eti hataki kusikia habari za wazazi wake kuondoka.asee, bora aondoke na wazazi wake. wacha nidhamu ya...
yaani CCM ya Mwaka huu ni kama chama cha ADC, chama kichanga. haiingii akilini kwa hofu ya uchaguzi waliyonayo utafikiri sio chama kikongwe.
kinafanya mambo kwa kificho na kwa hofu kuu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.