Recent content by Muntu Ya Pori

  1. Muntu Ya Pori

    Database

    Nadhanini vyema ukatengeneza create account page iwe na registration number na password. Then anposubmit unakweli database unaangalia kama kasajiliwa, kama kasajiliwa unaadd password field ambayo mwanzo ilikua empty. MySQL inahitaji schema iwe planned in advance tofuti na no SQL
  2. Muntu Ya Pori

    Nimeamua kuanza kujifunza computer programming (back end development)

    Ni ya zamani kwenye backend, languages nyingi mpya huwa zinajaribu kusolve some problems that other din't do well. Pyhton, Go, Dart na NodeJS sinafanya vizuri, ila PHP being old imetumika Sehemu nyingi sana ndio maana kuwa replaced kirahisi inakua ngumu
  3. Muntu Ya Pori

    Nimeamua kuanza kujifunza computer programming (back end development)

    HTML,CSS na JS ni core technologies kwenye web development. Sasa kusoma JS sio option ni lazima kama unataka kuwaweb developer. Faida moja wapo ya JS inatumika kote front-end and backend Ila ecosystem ya JS inaumiza sana usipokua na umakini utakata tamaa, JS ina framework na Library nyingi mno...
  4. Muntu Ya Pori

    Online forms

    Elezea vizuri ili watu wapate kuelewa na kukusaidia. Unataka form uiweke wapi au unataka kutengeneza form then iwe hardcopy Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Muntu Ya Pori

    MSAADA JINSI YA KU CREATE WEBSITE

    Umeshatengeneza website tayari then unataka domain name Au ndio unataka kutengeneza website? Kuna uzi nimeandika kwa title web development unaweza kukufaa Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Muntu Ya Pori

    Web development

    Habari wana Jamvi! I am a self taught fullstack Web and mobile developer, using JavaScript front-end and backed. Kwa wale wanaotaka kujifunza web development for fun or career. Nitaanza kutoa darasa bure kabisa kupitia posts kama series kupitia web application yangu ninayoikamilisha soon...
  7. Muntu Ya Pori

    mkopo

    Habari za leo wanajamvi. Naomba kuju kama kuna yeyote ambaye jina lake lilitoka batch 1 lakini allocation haikupelekwa chuoni mwanzoni ila kwa sasa tayari amepata.
  8. Muntu Ya Pori

    MREJESHO TOKA TAHLISO

    Kwa waliopata batch ya kwanza taarifa gani wanatakiwa kurekebisha? yaani mpaka jina linatoka taarifa zilikua na shida? walifanyia kazi na kujiridhisha kwamba anastahili mkopo tena batch one kwa taarifa ambazo hazikukamilika? Only in Tanzania
  9. Muntu Ya Pori

    Sad News

    vip jamani kuna aliyepata baada ya batch ya tatu kutoka au bado tuendelee kusuburi?
  10. Muntu Ya Pori

    Special Thread: Kwa waombaji wote wa mikopo kupitia HESLB 2018/2019

    jamani kwa wale ambao walipata batch ya kwanza ila allocation board ilisema wasubiri, vip kunawaliopata allocation baada ya batch ya tatu kuachiwa?
  11. Muntu Ya Pori

    Dar es Salaam Institute of Technology(DIT) - Special Thread

    kwenye list ya batch 3 jina halipo. nimeona SUA wametoa list ya allocation batch 1 addition na batch 3. Vip hapo kuna new list on advert board?
  12. Muntu Ya Pori

    Dar es Salaam Institute of Technology(DIT) - Special Thread

    kwani kwenye batch ya tatu kunamajina ya batch 1?
  13. Muntu Ya Pori

    Dar es Salaam Institute of Technology(DIT) - Special Thread

    nilipata batch ya kwanza ila jina langu halikuwepo kwenye list ya batch ya kwanza hapo chuoni
  14. Muntu Ya Pori

    Dar es Salaam Institute of Technology(DIT) - Special Thread

    hello Engineers hakuna update ya majina mapya ya allocation?
Back
Top Bottom