Database

Database

Tatizo jamaa kakimbia Sasa ndo maana watu hawakupi msaada kuwa active mkuu hauko serious au umepata majibu

Kwa kuwa haujatoa maelezo niliyoomba fuata hi concept
Kwa upande wa wanafunzi
Lazima uwe na table yenye details zao zikiwa na number zao za usajili then
Lazima uwe na page yenye form kwa ajili ya kuimgiza data kwenye database table husika form inaweza kuwa na input Kama student name,number na password hapa nazungumzia page ya registration

Then hizo input field zipe name na type
Usiweke value hapo

Then
Tengeneza php script kwenye page nyingine ipe jina la kueleweka then include kwenye page yenye form zako juu kabisa kabla ya code za html itakuwa poa

Mwisho andika code za php zitakazo chukua data za mwanafunzi anaye register na kuziweka kwenye database table ya student

Ukimaliza
Tengeneza Tena page ya login weka form yenye input mbili yaan number ya student na password mwisho tumia button au input nyingine ya tatu weka type na name

Then
Tengeneza php script yenye kufanya comparison ya data zilizoko kwsnye database table ya student kwa details zolozopo kwenye login page

Ikiwa ataingiza zikafanana basi itaruhusu kuingia kwenye page mpya
Hapa utaweka session then header() kwa ajili ya kumredirect kwenye page ingine nadhani nimesolve tatizo lako

Kwasababu haukuja na code snippet na maelekezo nilokuomba komaa na code sasa
hapa umeelezea vema sana
 
Fanya hivi mkuu:

Mwanafunzi akishasajiriwa anapewa id na temporary password,

Baadaye atatumia hizo credetials ku log in na kisha mfumo utam direct kumalizia usajili wake.

Baada ya hapo, mfumo uta update hizo taarifa na ata create paaword mpya!
Hapa nimejaribu njia nyingine ya kucreate username kama registration no yake na password by default 1234 then akilogin anabadilisha password mwenyewe tu! Pia naona ni simple but pia naweza set expired password after 2week kama student haja login!! Ushauri kidogo hapo
 
Iko poa, lakini ungeiboresha kidogo, password iwe automatically generated randomly, lakini yenye chars chache ambayo ataipata kwa njia ya email au text
 
Iko poa, lakini ungeiboresha kidogo, password iwe automatically generated randomly, lakini yenye chars chache ambayo ataipata kwa njia ya email au text
Sorry nawezaje kucreate hiyo automatic password generated?
 
Ideally unatakiwa kuwa na two login pages, moja ya registered students na nyingine ya walimu. Kwenye database waweza kuwa na table mbili yani ya students na walimu + administrators au ukawa na single table lakini ukaweka column ya kutofautisha hao users wako using techniques mbalimbali. Mimi nafanya Microsoft SQL na siyo MySQL japo utofauti ni kidogo sana. Front end nafanya asp/aspx chini ya Vb au C#.

Mkuu nyie ndio ma hackers mnaochezea matokeo ya watu vyuoni.

Niko interested na kujua haya madude ila sijui nianzie wapi
 
Msaada nimetengeneza school system kwa kutumia php html na mysql sasa shida niliyonayo ni nawezaje kutengeneza login system ambayo itawafanya wanafunzi waliokwisha sajiliwa kujisajili kwenye account zao kwa kutumia zile zile registration number zao wao wacreate password tu! Na kuweza login
Nadhanini vyema ukatengeneza create account page iwe na registration number na password. Then anposubmit unakweli database unaangalia kama kasajiliwa, kama kasajiliwa unaadd password field ambayo mwanzo ilikua empty. MySQL inahitaji schema iwe planned in advance tofuti na no SQL
 
Mkuu nyie ndio ma hackers mnaochezea matokeo ya watu vyuoni.

Niko interested na kujua haya madude ila sijui nianzie wapi

Mimi sipendi kuwa Hacker, kama uke kweli interested take your time na ujifunze mkuu
 
Nadhanini vyema ukatengeneza create account page iwe na registration number na password. Then anposubmit unakweli database unaangalia kama kasajiliwa, kama kasajiliwa unaadd password field ambayo mwanzo ilikua empty. MySQL inahitaji schema iwe planned in advance tofuti na no SQL
Sorry nipo nje ya mada. Kwenye blog yangu nimeweka matangazo ya propeller direct link (smart link). Sasa ukiclick ina kuredirect kwenye page ya Google (Home page ya browser). Na tatua vipi hili tatizo?
 
Hapa nimejaribu njia nyingine ya kucreate username kama registration no yake na password by default 1234 then akilogin anabadilisha password mwenyewe tu! Pia naona ni simple but pia naweza set expired password after 2week kama student haja login!! Ushauri kidogo hapo
Sorry nipo nje ya mada. Kwenye blog yangu nimeweka matangazo ya propeller direct link (smart link). Sasa ukiclick ina kuredirect kwenye page ya Google (Home page ya browser). Na tatua vipi hili tatizo?
 
Sawa mkuu!!

Naanzia wapi sasa?

mimi sijui kabisa haya makitu

Unaanzia pale kwenye jibu lako la kwanini unataka kuwa hacker badala ya decent programmer. Hacking sometimes huwa ni hobi ya mtu au hujengwa baada ya kuangalia baadhi ya movies na kujikuta unatamani kuwa mmoja wa hackers kama vile watu wanavyotamani kuwa kama makomandoo. All in all, all hackers are programmers but not all programmers are hackers.
 
Back
Top Bottom