Ni vema kujua rangi zote hupauka lakini inategemea na brand. Ukiingia sokoni kwa kudhani rangi hazipauki utakuwa unafanya makosa. Na tena ukiingia sokoni kwa kuteka bidhaa mteremko wa bei basi utaangukia pua zaidi. Cheap is expensive always. Nunua uhalisia wa bei na warrant.
Umeongea vema. Biashara ina vita vya kila aina. Propaganda nayo imetawala, ni muhimu mteja kuwa mtulivu na kufanya machaguzi sahihi na kuzingatia ubora
Kwani hapa JF haturuhusiwi kuweka uzi juu ya uzi? Je unadhani unaweza kuongelea mabati ukamaliza kila kitu au ww umeamua tu kuwa negative. Pole sana ndugu. Sisi tunashauri, tunasaidia wateja pia kupata bidhaa husika kwa uaminifu na katika rates halisi. Acha wivu wa kijinga
Kabla hujaingia kwenye kundi la walio wengi wanaolalamika kuhusu ubora wa bati katika kutoboka,kushika kutu, kupauka kwa sababu ya maamuzi yao wenyewe au kupotoshwa na wauzaji wenye tamaa ya pesa, Pata #ElimuNaUelewa Kuhusu mambo makuu matatu unayoweza kuyazingatia kabla hujaamua kununua Bati la...
Tuwe wakweli kama alimsaliti na wanaccm wanakubali hivyo na kama jumbe alikuwa sahihi kwa nn wamfunge na kwann wasitekeleze alichokisimamia jumbe ambacho ndo anakisismamia seif hadi Leo hii
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.