Recent content by Mungwana

  1. Mungwana

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hii kitu nimeikuta pia ,hawajaweka interview number Wala venue,wenye ujuzi na hili watusaidie
  2. Mungwana

    Changamoto katika mfumo wa ajira jeshi la Zimamoto

    Mkuu hongera sana,wengi wanapata changamoto kufika hapo..samahani hivi vyeti vya kuweka hapo ni lazima viwe satisfied na mwanasheria..???
  3. Mungwana

    EWURA toeni ufafanuzi wa katazo la kuuza mafuta kwenye vidumu

    Watu wanaoishi maporini na Wana mashine za kusaga zinazosaidia jamii zao ,Kuna watu maporini Wana pikipiki zao na vyombo vingine vingi so na wao wawe wanabeba majenereta Yao,mamashine Yao,mapikipiki Yao Hadi mjini kuyaweka mafuta..aisee
  4. Mungwana

    Ushauri: Nataka kutafuta "Fundi Juma" mwenye uzoefu wa kujenga ghorofa ili kupunguza gharama

    Habari, nakushauri kama utaweza tumia waffle slab,Kuna jirani angu amejenga gorofa kwa garama ndogo sana aliwapata jamaa wanaotumia hizo waffle sikufich nilipenda kuanzia muonekano wa hizo waffles na pia namna ilivyookoa garama maana formwork yake haikuhitaji marine bords na hata idadi ya nondo...
  5. Mungwana

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Gari ni mazda demio, asubuhi nimekuta Ina hizo alama,shida itakuwa Nini mshana
  6. Mungwana

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Mshana naomba kujua umuhim wa bushi za nyuma kwenye gari,maana naona Kuna shokaup Kuna spring zile Sasa hizi bushi umuhim wake Nini..???
  7. Mungwana

    Hawa watoa mikopo kwa njia ya mitandao wanatuchukuliaje?

    Hao pesa x,ninawatafuta kwenye kilengeo changu wakijaa hawataamini,wanajifanyaga wanamaneno ya shombo na kauli mbovu na mariba Yao makubwa
  8. Mungwana

    CAG afanye Ukaguzi. Hili Jengo la Ofisi ya CHADEMA halifanani na Sh. Bilioni 2

    Kuna vitu Watu mnaongea mnafanya tuonekana baadhi ya Watu ni wajinga Kumbe Kuna Watu wapo smart tuu...mkubwa kasome Tena hiyo habari,wamekwambia hizo 2B zitajenga ofisi dar na znz,hivi kweli 2B unaiona Hela nyiingi ya kujenga majengo ya kisasa hapo masaki na Zanzibar Duuuu...Tutafuteni nada...
  9. Mungwana

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Aise hata barua ya maombi..??[emoji848][emoji848][emoji848]
  10. Mungwana

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    On the Field mambo sio rahisi kihivyo kaka,from no where tuu mtu akupe chance ambayo kwanza anakupa Kwa njia ambayo sio rasmi mbaya Zaid anatangaza kabisa hadharan hahahahaaaa...Ngoja tuone
  11. Mungwana

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Mndewa kama mndewa...hahahaa sawa
  12. Mungwana

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Wadogo zangu mnaotafuta ajira mnatakiwa muwe watulivu sana bila sivyo ukipanic tuu watu wanakugeuza wewe ajira wakat unatafuta ajira...
  13. Mungwana

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Naona mambo mawili 1)unamtia moyo kuwa umri sio issue as long as una Nia ipo siku atapata anachohitaji 2) Venezuela,watu waje DM. Kupanga ni kuchagua
  14. Mungwana

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Hahahaaa sawa mkubwa nimeelewa logic yako
Back
Top Bottom