Recent content by Mungumaji

  1. M

    JamiiForums Tanzania Shule ya Secondary Idodi Iringa yawaka moto

    Kuna habari zinazagaa hapa mjini iringa kuwa shule ya secondary idodi inawaka moto mda huu, kwa wenye taarifa kamili mtujuze kwani wazazi wanahaha.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Pagara linauzwa Iringa Mjini

    Millioni 15
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina Bachelor Accounting

    Kwa account wasaidie mama ntilie hawajui kufunga mahesabu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Pagara linauzwa Iringa Mjini

    Pagara liko Iringa mjini maeneo ya mwangata lina hati name limelipiwa aridhi. Kwa mawasiliano 0766610902.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete amtimua Waziri Anna Tibaijuka, adai kumuweka Kiporo Prof. Muhongo

    Jamani MTU anayechunguzwa si inabidi aachie office kwanza ndo uchunguzi ufuate, hili ni changa la macho.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Elimu ya bure kuhusu Azam TV

    VP dishi LA zuku naweza kupata hzo Chanel za bure?
  7. M

    JamiiForums Tanzania La Mgambo Kwa Vijana Wote wa BAVICHA na Mashabiki wao

    Saizi vijana wetu sana lugha moja, magamva watakoma lazima wawe wapinzani, UKAWA ndo habari ya mjini,
  8. M

    JamiiForums Tanzania Escrow yazidi kuvimba: CHADEMA wampatia kibarua kizito Rais Kikwete kuelekea Hotuba yake kesho

    Awalinde tu UKAWA waingie ikulu wezi waswekwe lupango.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Iringa: Mtoto huyu akutwa ametupwa porini eneo la Mafifi

    Masikini mtoto mzuri, tunamlaani, we ni muuaji. Hasa wanafunzi wa vyuo vya mjini iringa mnawazalisha watoto wa watu alafu mnawatelekeza ndo matokeo yake hyo.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Utafiti Mpya ni Lowassa tena, Pinda wa pili

    Mzeee wetu, tusubiri tuone 2015 c mbali. Rais tunamjua cc watanganyika,
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa ndani wapo na tunakuletea mpaka nyumbani kwako

    Human trafficking, unamuuza binadam mwenzio?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Elimu ya bure kuhusu Azam TV

    Asante mkuuu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nitajuaje kama mke wangu amenisaliti

    Aliwazalo mjinga ndilo litakalo mtokea. So ukimuwazia hvyo watamgegeda kweli
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mwanadada aniuzia Camera aliyorekodiwa, nifanyaje?

    Delete kabisa
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ufafanunuzi mtikisiko mkubwa wa 4 kulikumba taifa

    Hzi ni nyakati za mwisho. Manabii wa uongo wataibuka.
Back
Top Bottom