M Mungumaji Member Joined Oct 14, 2014 Posts 54 Reaction score 4 Mar 8, 2015 #1 Kuna habari zinazagaa hapa mjini iringa kuwa shule ya secondary idodi inawaka moto mda huu, kwa wenye taarifa kamili mtujuze kwani wazazi wanahaha.
Kuna habari zinazagaa hapa mjini iringa kuwa shule ya secondary idodi inawaka moto mda huu, kwa wenye taarifa kamili mtujuze kwani wazazi wanahaha.
Tusker Bariiiidi JF-Expert Member Joined Jul 3, 2007 Posts 5,554 Reaction score 2,160 Mar 9, 2015 #2 Mungumaji said: Kuna habari zinazagaa hapa mjini iringa kuwa shule ya secondary idodi inawaka moto mda huu, kwa wenye taarifa kamili mtujuze kwani wazazi wanahaha. Click to expand... Wanafunzi kadhaa wamejeruhiwa hapo kuna hujuma kwani hii ni mara ya tatu.
Mungumaji said: Kuna habari zinazagaa hapa mjini iringa kuwa shule ya secondary idodi inawaka moto mda huu, kwa wenye taarifa kamili mtujuze kwani wazazi wanahaha. Click to expand... Wanafunzi kadhaa wamejeruhiwa hapo kuna hujuma kwani hii ni mara ya tatu.
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 53,728 Reaction score 99,583 Mar 9, 2015 #3 Si bure.Kwani hii shule imejengwa juu ya ziwa la moto?Maana kila mara yenyewe tu kuungua.
Rene Jr. JF-Expert Member Joined Jan 31, 2014 Posts 3,731 Reaction score 2,397 Mar 10, 2015 #5 TENA?!!....eh!
Mr.Junior JF-Expert Member Joined Sep 8, 2013 Posts 13,079 Reaction score 12,079 Mar 10, 2015 #6 Kuna kitu hapo si bure, wahusika wa hiyo shule wakae na wazee wa hapo kijijini waongee nao vizuri.