Taja hiyo kozi unayotaka kwenda kusomea tukujulishe zaidi,hata hivyo sina imani kama kweli hiyo kozi haipo hapa nchini kuanzia Mzumbe, Muccobs, UDSM, SUA, ESAMI, SAUT, Tumaini, UDOM, Mount Meru, St Joseph, IFM, CBE, nk. Labda ungesema unataka kwenda kusomea ng`ambo ila si kwa maana ya kuwa hapa...