Conspiracy theories zipo nyingi, nyingine zinapatana na akili. Na almost vaccine zina side effect za mda mfupi tunazozifahamu, za mda mrefu ni zipi watu hatujui kama inavosemwa kuwa hii chanjo inaenda kubadili mfumo vinasaba mwilini. Matokeo tutayapata miaka ya baadae
Kama hizo vaccine ni live attenuated, uwezekano wa kupata korona ni mkubwa. Ni kama mtu anaepata chanjo ya BCG sio kwamba hatokuja apate TB, itadepend na immune status ya mda huo unacontract virus/bacteria. Ukipawa vaccine labda ya covid, virulence(uwezo wa kusababisha ugonjwa) ya mdudu inakuwa...
Mfumo wa kuenedelea kusoma level nyingine ukiwa na supp utaona ni mzuri sana endapo utachomoa sapp yako, ila ukishindwa kuchomoa kuna shida kubwa sio kidogo.
Itakubidi u-repeat module uliofel ile, na kweny kirepeat apo inamaana kile ulichosoma level ya juu pamoja na ada uloitoa vinakuwa...
Kuna utafauti gani wa outcome, na pia ukisema tamisemi hao viongozi wa tamisemi( ambayo ipo chini ya serikali) wanateuliwa na nani ambae ni mtu tofauti na yule anaeteua wasimamizi wa uchaguzi mkuu( toka viongozi wa tume hadi wakurugenzi). Ukinipa utofauti huo nitakubali uniite layman nisiejua kitu.
Ndugu zetu upinzani walikuwa wanakumbuka walichofanyiwa na CCM kwenye Serikali za mitaa na Tume ile ile, kuna miujiza gani ambayo ilitegemewa saizi. Wangeanza kudai tume huru mara baada ya ule Uchaguzi bas kuna mambo yasingetokea saivi.
Ishu ni kuwa baada ya kuzikamata kura ni kuziweka kama vithibitisho. Wizi sikatai kuwa umefanyika, hata hivyo waliingia kwenye uchaguzi wakijua kbisa haya yatatokea, lawama za nini sasa
Nmeupenda tu ushauri wa mzee, kuna maeneo vyama vya upinzani vinafeli. Ni kama mbwa flani mwenye njaa anabweka sana ila akishashiba analala tu asubiri njaa iume tena aanze kelele
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.