Dikteta Stalin wa Urusi ndiyo anashikilia rekodi ya kuagwa na watu wengi zaidi 1953

Pamoja na ‘udikteta’ , Stalin ndiye shujaa aliye iokoa dunia wakati wa vita kuu ya dunia ya pili kutoka mikononi mwa wajeruman chini ya adolf hitler
Stalin baada ya zile purges zake zilizoondoa wazoefu wengi jeshini akaja gundua bila majenerali wa kijeshi vita yeye haiwezi. Akawa anawasikiliza kina Rokossovsky, Zhukov na wengineo wakibuni mbinu yeye anapitisha kama declaration. Akatumia na makamisaa kupambana vitani.

Hitler yeye alikuwa na kila kitu ila ujuaji wake na kupenda sifa vilimponza. Yeye aliishia kuvaa V moja jeshini kwenye Ww1 ila kwenye Ww2 akajikuta anawaelekeza wababe kama kina Field Marshal Rommel, Raeder na Kesselring. Maamuzi yaliyofanywa wapigwe yote aliyatoa yeye.

Ujerumani ilipanga itumie miezi miwili kuipiga USSR, wakapigana battle of Kursk, battle of Stalingrad, battle of Moscow, wakarudi Ukraine hapo wakatumia miaka minne. Stalin ukatiri wake ulifanya washinde vita. Sio kama watoto wa mama Wafaransa walijazana vilaza jeshini mwishowe wakapigwa kwa wiki mbili tu. Yani hata Poland ilikomaa kuwazidi
 
Halafu yule domo tarumbeta mwenye mishavu kama mapaka ya hotelini amedanganya umma kuwa eti mazishi ya Kayafa yamefuatiliwa na watu billion 3.9,akimaanisha nusu ya watu dunia nzima!
 
Mnyama ama mtu hatari akifa/akifariki watu huwa wanajitokeza kwa wingi kushangaa.

Nakumbuka ktk kijiji chetu aliuawa chatu mla watu aliyesumbua kwa miaka mingi sana, watu toka karibu vijiji vyote 8 vya kata yetu walimiminika kuja kumwangalia. Huyo ni chatu ambaye wala siyo mwanasiasa achilia mbali kwamba alihatarisha maisha ya watu.

March 1953, alifariki dikteta katili Sana nchini Urusi lkn mamilioni ya warusi walimiminika kwenda kuthibitisha na kumshangaa.

Watu wanaoenda kushuhudia ama kushangaa huangua vilio kwasabb huwakumbuka wapendwa wao waliopoteza maisha yao kwasabb ya mnyama/mtu huyo.

Kwahiyo usije ukatumia wingi wa watu kuhitimisha kuwa marehemu alikuwa kipenzi cha watu.

View attachment 1733441
Watanzania wanamlilia magu kwasababu kawapa elimu bure kawapelekea umeme vijiji karibu vyote kawapelekea maji watotowao elimu ni bure kawaruhusu machinga kuuza bidhaa zao popote achilia mbali miundombinu wewe ndo chatu usiyeona haya na unajitahidi kujenga hoja dhaidu yenye mtazamo dhaifu hakika magu amewashika pabaya sana ata mkimchafua mawe yatamsafisha

Sent from my SM-T355Y using JamiiForums mobile app
 
Mnyama ama mtu hatari akifa/akifariki watu huwa wanajitokeza kwa wingi kushangaa.

Nakumbuka ktk kijiji chetu aliuawa chatu mla watu aliyesumbua kwa miaka mingi sana, watu toka karibu vijiji vyote 8 vya kata yetu walimiminika kuja kumwangalia. Huyo ni chatu ambaye wala siyo mwanasiasa achilia mbali kwamba alihatarisha maisha ya watu.

March 1953, alifariki dikteta katili Sana nchini Urusi lkn mamilioni ya warusi walimiminika kwenda kuthibitisha na kumshangaa.

Watu wanaoenda kushuhudia ama kushangaa huangua vilio kwasabb huwakumbuka wapendwa wao waliopoteza maisha yao kwasabb ya mnyama/mtu huyo.

Kwahiyo usije ukatumia wingi wa watu kuhitimisha kuwa marehemu alikuwa kipenzi cha watu.

View attachment 1733441
Alikuwa dictator according to USA, jaribu kusoma media za nje zinavyomwelezea magufuli.
 
Mnyama ama mtu hatari akifa/akifariki watu huwa wanajitokeza kwa wingi kushangaa.

Nakumbuka ktk kijiji chetu aliuawa chatu mla watu aliyesumbua kwa miaka mingi sana, watu toka karibu vijiji vyote 8 vya kata yetu walimiminika kuja kumwangalia. Huyo ni chatu ambaye wala siyo mwanasiasa achilia mbali kwamba alihatarisha maisha ya watu.

March 1953, alifariki dikteta katili Sana nchini Urusi lkn mamilioni ya warusi walimiminika kwenda kuthibitisha na kumshangaa.

Watu wanaoenda kushuhudia ama kushangaa huangua vilio kwasabb huwakumbuka wapendwa wao waliopoteza maisha yao kwasabb ya mnyama/mtu huyo.

Kwahiyo usije ukatumia wingi wa watu kuhitimisha kuwa marehemu alikuwa kipenzi cha watu.

View attachment 1733441
Animal farm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe mleta mada na huko ulipoitoa nyote hamna akili sawa sawa.

Alie kwambia umfananishe Stalin na Magufuri alitumia mizani gani?!

Acheni ufala wa maarifa. Hivi hawa watu waliojitokeza kumzika magufuri unataka kutuaminisha ni watu ambao walikuja kwa lengo jingine zaidi ya kuomboleza?!

Kwamba walikuja kushangaa nini sasa cha ajabu wasichokijua au ambacho hawakuwahi kukiona....?!

Hebu muwe mnakubali tu ukweli muda mwingine, kushindana na ukweli ni kama kupiga ngumi ukuta.

Kama magufuri hakuwa akiwasaidia ninyi na makundi yako basi jua kuna watu aliwasaidia na aliwagusa..... Hao hao ndio wameumia. Huwezi kupendwa na wanainchi wote kwa sababu watatokea tu wale ambao wataona kwao wewe haufai na watataka kumuaminisha kila moja wapo kuwa wewe haufai.....

Huyu mzee ana mazuri yake amefanya na hiyo picha ya ukatili na udikteta mnayojaribu kumvalisha ni jambo linaloonekana wazi kabisa kushindikana.

Dikteta huzikwa na ndugu na jamaa zake kwa vilio na huwa Channel za tv hazihangaiki na coverage ya habari zake 24 seven.

Unataka kunambia hivi vyombo vya habari vya tanzania wamewekewa bunduki kichwani na kulazimishwa kurusha matangazo live?!

Unataka kunambia umati wote ule wa zanzibar, Dar es salaam, dodoma, mwanza, na hata kuelekea chato ni umati wa watu ambao hawajaguswa na lolote?!

Hebu kuweni hata na adabu kidogo hata kama mlikosa malezi ya kuheshimiana na wengine..... ....

Mzee kafanya mazuri yake hebu ondoeni ghubu lenu.........
 
Maisha yetu yatabadilika siku ukizikwa wewe na wenzio mnaosherehekea kama wale nyani wa kwenye hadithi waliosherehekea kifo cha mkulima wasijue watakufa njaa baadaye
Kabisa...... Mafala hawa. Wanasheherekea mtu ambaye afadhali yake ni kutumia pesa kujenga miundo mbinu wanataka majizi ndio yawe na hatamu serikalini
 
Watu wengi sana wamelia mkuu.

Waliobomopewa pale Kimara.
Ndugu wa Azory.
Ndugu wa Ben Sa8.
Ndugu wa Lisu, Kabendera, Rugemalira, Harbinder Seith, n.k
Ndugu wa wafanyabiashara waliofilisiwa, walioporwa fedha zao n.k
Wakulima wa korosho.
Wakulima wa mahindi na mbaazi.
N.k
Wewe unawasemea kama nani tuanzie hapo?!

Una uhakika kuwa raisi ndio alitoa amri hao watu wafanyiwe chochote?!
 
Jibu lipo kwenye uzi. Soma tena mkuu
nadhan ni vema ungeacha chumvi zisizo na kichwa wala mkia, na uache kuiba posts twitter!

- nenda mbele rudi nyuma, magufuli alipendwa na hakuna mjadala katika hilo, kama unadhan mnapendwa zaidi ni vema mjiue alafu muite umati ule tujue kweli walikuja kumshangaa marehem
 
Nenda mpk leo Uganda umseme vibaya Iddi Amini utasikia majibu ya waganda.
Acha uongo..... Hapo Uganda idd amini hakuna ambalo alifanya zaidi ya kukoroga koroga inchi na kulazimisha mambo yaende anavyotaka yeye?!

Hapa Tanzania yaliyotokea ni mkaranganyiko wa ninyi msio na jema na taifa kuchafua jitihada anazofanya kiongozi anaejaribu kuleta mabadiliko.

Yaani kumfananisha Iddi amini na Magufuri ni kukosa akili kwakweli.
 
Mnyama ama mtu hatari akifa/akifariki watu huwa wanajitokeza kwa wingi kushangaa.

Nakumbuka ktk kijiji chetu aliuawa chatu mla watu aliyesumbua kwa miaka mingi sana, watu toka karibu vijiji vyote 8 vya kata yetu walimiminika kuja kumwangalia. Huyo ni chatu ambaye wala siyo mwanasiasa achilia mbali kwamba alihatarisha maisha ya watu.

March 1953, alifariki dikteta katili Sana nchini Urusi lkn mamilioni ya warusi walimiminika kwenda kuthibitisha na kumshangaa.

Watu wanaoenda kushuhudia ama kushangaa huangua vilio kwasabb huwakumbuka wapendwa wao waliopoteza maisha yao kwasabb ya mnyama/mtu huyo.

Kwahiyo usije ukatumia wingi wa watu kuhitimisha kuwa marehemu alikuwa kipenzi cha watu.

View attachment 1733441
Nakumbuka ktk kijiji chetu aliuawa chatu mla watu aliyesumbua kwa miaka mingi sana, watu toka karibu vijiji vyote 8 vya kata yetu walimiminika kuja kumwangalia
 
Nakumbuka ktk kijiji chetu aliuawa chatu mla watu aliyesumbua kwa miaka mingi sana, watu toka karibu vijiji vyote 8 vya kata yetu walimiminika kuja kumwangalia
Kwa hiyo hao watu walilia pia huku wameshika matawi ya miti pia mbona mnatoa mifano ya kipumbafu eti
 
Najiuliza hapa endapo waombelezaje wangekuwa wachache mngetoa tafsiri gani?
Kwamba hapendwi?
 
Je warusi wanamuita Stalin Kama Dikiteta au ndio jumuiya za nje ndio wamembatiza jina hilo
 
Back
Top Bottom