Recent content by munga mtengeti

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanaamini uwepo wa Mungu mpaka wakati huu??

    Ya Allah nakuomba uniondolee maradhi niliyonayo umpe mja wako huyu asiyeamini uwepo wako kupitia kwayo atapata kukujua .ee mola naomba unikubalie dua hii ili apate cha kujifunza.amen
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ndoto tu ndizo zimetumika kuandika Misahafu yetu tunayobishaniana na kupiganiana leo

    Ya Allah hebu mpe mtu huyu maradhi yanayonisumbua ili akutambue na ajue neema zako.amen
  3. M

    JamiiForums Tanzania Happiness massage services

    Tuweke bei tusije na shs elf 20 kumbe ni laki kwani tunasumbuliwa na magonjwa ya uti wa mgongo
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Shariff Abdallah Attas na mwalimu Julius Nyerere ofisi ya TANU baada ya uhuru

    Mzee Mohammed nakukubali sana yaani tulifundishwa history ya ajabu kweli ukweli haufichiki
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ninasambaza ma-house girls, ukihitaji nitafute

    Weka namba zako za simu na unapopatikana
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa kinyerezi

    Kiwanja kipo kando ya barabara ya lami inayoelekea mitambo ya umeme wa gesi ya kinyerezi one.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa kinyerezi

    Hakijapimwa kipo umbali wa mita 20 toka barabara ya lami na kilometa 3 toka ilipo mitambo ya gesi
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ulaya huwezi kumuita Mtoto wako jina la Kiafrika!

    Kweli kabisa waafrika wengi wamepoteza mwelekeo mtoto akizaliwa wazazi wanawahi ktk internet kugoogle jina la kidhungu huku wakiwa wanajiita wasomi na wenye kutumia majina ya kienyeji ya familia zao
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa kinyerezi

    Kiwanja kipo kinyerezi mita 20 kutoka barabara ya lami inayoelekea ktk mitambo ya umeme wa gesi. Ukubwa wake ni m40 kwa 35. Bei Tshs mil 25 na mazungumzo yapo. Simu 0715/0754/0783 472414
  10. M

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa kinyerezi

    Million 25
  11. M

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa kinyerezi

    Kiwanja kinauzwa kipo Kinyerezi Kibaga ukubwa wa 35m kwa 45m kipo kando ya barabara ya lami kuekuelekea mitambo ya gesi mita 20. Bei tsh mil 25 mazungumzo yapo. Piga simu 0754/0715 472414
  12. M

    JamiiForums Tanzania Carina ti 7ml

    Mkuu mm Nina 5m kama upo tayari tufanye biashara
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji Masoud Masoud wa TBC

    Kwakweli na mic sana sijui yupo kipindi gani kwani akiwa ktk kipindi kile cha enzi hizo unatamani kutembea na radio mkononi
  14. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale NAUZA FUSO MIGNON TIPPER

    Nauza Fuso Mignon Tipper ipo katika hali nzuri sana.Tairi zote mpya na vibali vyote vipo hai.Bei Tshs Mil 22 na mazungumzo yapo.Gari ipo DSM mbezi temboni.Simu no 0715/0754 472 414 na whatsup 0783 472 414
  15. M

    JamiiForums Tanzania NAUZA FUSO TIPPER MIGNON

    Nauza gari aina ya Fuso mignon Tipper ipo ktk hali nzuri ina tairi zote mpya na vibali vyote vipo hai.Bei ni Tshs mil 22 na mazungumzo yapo Gari ipo mbezi temboni.Kwa simu no 0715/0754 472 414 kwa picha what sup 0783 472 414 .Nashindwa ku upload picha
Back
Top Bottom