Carina ti 7ml

mslopagaz

JF-Expert Member
Jul 31, 2014
367
36
Gari ipo kweny hal nzur kabsa
Contact 0656 698232
b36b56df67c367015299aceabed4f059.jpg
b2dab16d4ace0f46e6f193a5d0f9f87e.jpg
ae44615a0b517881687f5846eb4d721f.jpg
e317dcd1076b7a7c8d4deed560e42ccb.jpg
3e23a2d84d813f3adaa4e9605174acab.jpg
0f9defa80ef024250d00e44e051c0fc2.jpg
 
Afu iyo gari mbona sio T.I ni S.I
Mkuu udalali kazi kweli.
Maana jamaa amekkurupuka tu hata Magari aina zake hazijui.
Somtimes udalali unakuwa kama vile kazi ya laana vile.
Maana kwe Bei ni balaa,na ukutane nao kwenye kazi zao ujanja mwingiiiiii
S.I bei hiyo?
 
OK thnx Mkuu..njoo mezan na ofa yako tukupe documents na gar uondoke navyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom