Recent content by Mundu

  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbeya: Joseph Mbilinyi(Sugu) akamatwa na Polisi wakati akichukua fomu ya Uteuzi

    Ooooh, uchaguzi utakuwa huru na haki... woga tu!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Namba ya tanesco

    Tanesco wana matatizo gani Sinza, Mbona umeme unakatika siku zote? Sinza maeneo ya Saroi Hotel (Karibu na Sinza Deluxe) Chimwaga Road. Hakika wananchi wanaoishi maeneo haya wanateseka kwakweli. Sijui ni mgao ama tatizo ni nini? Toka tarehe Moja mwezi wa pili 2018 umeme haujawahi kuwaka siku nzima.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ujue ugonjwa wa Mba na tiba yake

    Dose yake ipoje ya hivyo vidonge?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Dawa za Kulevya: Yusufu Manji afikishwa Mahakamani Kisutu, aachiwa kwa dhamana

    ...hivi wanapozungumzia utumiaji wa dawa za kulevya hupunguza nguvu kazi ya Taifa, wana wajumlisha watu aina ya Manji pia?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nini tafsiri ya serikali kusambaza tani milioni 1.5 za chakula?

    imeweka mpira kwapani...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kilombero(CHADEMA) Mh. Lijualikali, afungwa jela miezi sita

    May be wanatest zali...kuona kama wanaweza fanya hivyo kwa yule wa Arusha.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kilombero(CHADEMA) Mh. Lijualikali, afungwa jela miezi sita

    Alishawahi kufungwa mbunge wa Songea mjini enzi hizo kwa kukutwa na meno ya tembo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mtunza bustani ashtakiwa kwa kumtusi Magufuli, kwamba anaendesha nchi kinyume na maumbile

    Labda alimaanisha... Kuminywa kwa uhuru wa habari na kujieleza Cyber crime Law Matumizi yasiyoidhinishwa na Bunge Hali ngumu ya maisha nk
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kupotea kwa Ben Saanane: Hoja za wananchi, kinachoendelea na maoni ya Waziri Mwigulu

    Binafsi naamini maneno uliyoyasema kiongozi. Kwa wananchi wa Tanzania Ben ni Msema ukweli, ni mtetezi wa haki na mpigania maslahi ya Nchi. Lililomtokea, katika hali yeyote ni rahisi kuhusisha na msimamo wake usioyumba dhidi ya maovu. Na kama unayosema ni kweli, basi tumwachie Mungu.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ajabu ya karne, Wakenya wamuweka Magufuli wetu juu ya Raisi wao!

    Tusizungumzie mambo madogo madogo. Tuzungumzie wale watoto waliokosa mikopo ya kuingia na kusoma vyuo vikuu, watasaidiwaje ilhali sifa wanazo?
  11. M

    JamiiForums Tanzania KUTOKA VIKINDU: Polisi wapambana na majambazi, askari mmoja adaiwa kuuawa

    Ili kuwazima watu wengine ambao wangeleta fyokofyoko, hiyo operation ilipaswa kuchukua muda usiozidi dk.30 tu. Zaidi ya hapo hayo ni majadiliano....
  12. M

    JamiiForums Tanzania DAR: Jenerali Ulimwengu apata ajali, alazwa Muhimbili

    Pole sana Generali...Nakuombea uponyaji wa haraka.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kigogo wa Wema anaswa akiuza Mishikaki

    Usisite kuniambia na mimi...sawa eeeh?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Uchaguzi wa Marudio visiwani Zanzibar - Machi 20, 2016

    Uchochezi wa Zanzibar unafanyika leo...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Smarttz App

    Huyu jamaa ni mwizi, na hii application ni ya utapeli. Nawashangaa Ridhiwan Kikwete na Mbunge wa Mbeya Mjini Mr. Sugu, kumsifia mgunduzi wa application hii, wakati wakijua ni ya kitapeli na inatumika kulaghai watu ili kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu. Shame on Sugu na Ridhiwan...
Back
Top Bottom