Recent content by mundu mkongw

  1. M

    Kuitwa interview Tanesco

    Pouwa ntakoomanao
  2. M

    Kuitwa interview Tanesco

    Yes! Tanesco ni taasis kubwa walitakiwa kutoa majina kwenye web yao kama utumishi
  3. M

    Kuitwa interview Tanesco

    Tarehe 22/7/2019 wanapiga simu hawaweki majina kwenye web yao kama wanavyofanya utumishi
  4. M

    Kuitwa interview Tanesco

    Hapana tanesco wanajiri wenjewe
  5. M

    Kuitwa interview Tanesco

    Shukrani kiongozi hilo la kujuana ndio hasa nalifanjia utafiti maana dar hadi mbeya niparefu sana
  6. M

    Kuitwa interview Tanesco

    Asante kiongozi ninachohofia ni mambo y kujuana halafu sina ndugu mbeya so nisije nikaingia cost kumbe jamaa wanamtu wao
  7. M

    Kuitwa interview Tanesco

    Shukrani kiongozi
  8. M

    Kuitwa interview Tanesco

    Wadau Jana nilipokea simu ya tanesco mbeya kunijulisha kuitwa kwenye interview mbeya kada ya procurement and supply Naimbeni ushauri kwa wale mliowahi kufanya interview zao
  9. M

    M-Pesa sio salama

    Wanachoweza kufanya nikuizuia hiyo hela kama uliyemtumia hajaitoa ila akishatoa inakuwa issue ya polisi
  10. M

    Mtangazaji Hassan Ngoma wa Clouds punguza ushamba, sifa, dharau na majivuno

    Niliangalia live kipindi Hassan alikuwa akitania tu baby kabaye alianza kumtania kabla yakumpa mic ulimuelewa vibaya mkuu
  11. M

    Watanzania waliopo nje ya nchi watapataje vitambulisho vya Taifa?

    Wenye mamlaka ya kutoa kitambulisho ni nida komaa watakupa tu
  12. M

    Ikitokea vitabu vya biblia vimeteketea vyote duniani software na hardware kuna uwezekano wa kuandikwa upya?

    Ni sawa na kuliza ungezaliwa mwanamke ingekuwaje wakati wewe. nimwanaume na huwezi zaliwa tena haiwezi tokea copy zote z biblia kupotea
  13. M

    Je, biblia ni copy & paste ya hadithi za kale za kipagani na sio UHALISIA?

    ungeweka vyote ingependeza zaidi mkuu nimeona thread yako moja unazungumzia mtu aliyeeneza dini ya kislamu kwa upanga ulaya halafu unamuita shujaa ndiomaana nikaona uko bias
Back
Top Bottom