Recent content by Mundali

  1. Mundali

    Kama chama hakimiliki jengo lake, kinawezaje kuwatumikia wananchi kwa ukamilifu?

    CCM hakina ofc yakudumu mbona kiko ikulu?
  2. Mundali

    Kama chama hakimiliki jengo lake, kinawezaje kuwatumikia wananchi kwa ukamilifu?

    Tuwe wakweli, chama kilichoshindwa kujijenga chenyewe hakiwezi kujenga nchi. Chama ambacho tangu mfumo wa vyama vingi urudishwe kinapata ruzuku ya sh. Bilioni 2 kwa mwezi na hakijawahi kujenga hata kibanda zaidi ya kuwapa wahindi viwanja wajenge majengo ya kibiashara kwa mikataba ya miaka 100...
  3. Mundali

    Wapinzani wanahujumu mchakato wa kujiandikisha kwenye Daftar la Kudumu - Nape

    Tupe mfano wa kijiji hicho, kipo kata gani, tarafa gani na wilaya ipi?
  4. Mundali

    Waziri kumhoji Waziri mwenzake bungeni

    Ukitaka kuficha pesa, mahali salama ni kwenye kitabu. Pia ukweli hutafutwa.
  5. Mundali

    CHADEMA yaaibika Kigoma

    Mtu anayejiinua kwa seta za udini na ukabila amefilisika kisiasa.
  6. Mundali

    Nikipata majibu ya maswali haya narudi CHADEMA

    Mwanachama huvutiwa na kujiunga na chama kutokana na itikadi na mwenendo wake.
  7. Mundali

    Kuna Uwezekano CHADEMA Inaelekea Kwishney? Zitto amebadili Online Trend...

    Pasco wachangiaji wapenzi wa CDM ni raia wenye mapenzi ya dhati na CDM wanatoboka mifuko kukipigania chama. CCM kwakujua hilo wameinstruct makampuni ya simu kupaisha gharama za intarnet bundles hivyo kucut off uwezo wa wengi kupost threads. Kwa sasa identity fake za marcenaries ndio wachangiaji...
  8. Mundali

    Naipenda sana CCM, hutaki acha

    Ushawahi ona mvuta sigara akaiponda, hata aambiwe vipi madhara yake bado ataisifu na kuienzi.
  9. Mundali

    Kiukweli, Zitto ndiye aliyeinyanyua CHADEMA na kuwa chama kikuu cha upinzani

    Napendekeza ZZK agombee ubunge jimbo la ubungo ili amfunze adabu huyo mnayemwita form six. Mtauona moto wa gesi unachomaje. Chezea mutoto ya msukuma wewee.
  10. Mundali

    Orodha ya viongozi na wanachama wa CHADEMA Waliomfuata Zitto ACT Tanzania

    Huwezi ukawa na chama madhubuti kinachoishi kwa kuwa na wafuasi wa watu. Chama imara kinachokana na wanachama imara wanaojua na kuishi kutokana na misingi ya chama chao na si vinginevyo. Sasa hao wafuasi wa watu ni sawa na wale waliokuwa wafuasi wa Lyatonga, wamehama nae kila alipoenda...
  11. Mundali

    Dr. Slaa amechuja sana kisiasa

    Wewe aliyekupa haki ya kusemea watanzania ni nani? Toa boriti kwenye jicho lako
  12. Mundali

    Nina mashaka na uwezo wa Godless Lema

    Alliance of Cowards and Traitors.
  13. Mundali

    Polisi kumulika CHADEMA kutokana na kupanga njama zenye mwelekeo wa ugaidi

    Natamani sana jeshi lichukue madaraka. Kila uozo utakuwa hadharani na hapo ndipo huu usanii wa policcm na wajinga wengine utapata majibu sahihi. Jeshi letu tunawaamini kamateni nchi.
  14. Mundali

    GE2015 Lowassa akanusha tetesi za kuhamia CHADEMA

    CCM acheni propaganda chafu.
  15. Mundali

    CHADEMA Hawajawahi Kusema Uongo.

    Ujinga ni ugonjwa mbaya sana, unapokuwa na katiba inayotumika yoyote nyingine iliyopita inakuwa imekufa. Sasa katiba mfu utaifanyia mrejeo? Ndio maana viongozi walisema hakuna katiba inayotoa ukomo wa uongozi. Lkn kama utaamua kujitia ujinga zaidi na kujiona mjuaji, amini pia ipo katiba...
Back
Top Bottom