Recent content by mume wa mtu

  1. M

    Sakata la Jerry Silaa kuvunja majumba ya watu nchi nzima: Johnson Mahululu aidai serikali ya Tanzania bilioni 20

    Mtoa mada nadhani hujui ukubwa wa tatizo la migogoro ya ardhi,na mara nyingi masikini ndo wanaoonewa sababu hawana uwezo wa kushindana na wenye pesa na connection.
  2. M

    Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Umesema kweli aisee!mimi sio msukuma ila nina ndugu wasukuma,pia nimesoma na wasukuma,ninafanya nao kazi,ni watu peace sana yani.
  3. M

    Rais Samia najua mapato ya mwezi wa 4 umeyaona tayari. Kariakoo wanakuangusha

    Kuna kipindi kkoo ilikuwa inajaa wafanyabiashara kutoka nchi za jirani,yani ukipita madukani wapo wanafungasha maroba yale na kuandaa oda,hoteli za kariakoo walijaa,lakini wote walipotea.Nafikiri sasa watarudi tena,magari ya transit yatabeba mizigo kama yote maana wameruhusiwa kubeba bidhaa...
  4. M

    Vijana punguzeni dharau kwa Mwalimu Bashiru

    JamiiForums tunaomba mtuwekee kile kiemoji cha recycle bin aisee!ni muhimu sana.
  5. M

    Ni mshikamano wa ajabu, wapinzani wamepigwa na butwaa

    Tuliambiwa mzee mangul amewekewa sumu akiwa ndani ya mkutano,mpaka leo hajakamatwa mtu!ccm haifai kuongoza nchi na tutaendelea kulalamika miaka nenda rudi kama itaendelea kubaki madarakani.
  6. M

    Nina mtaji wa Milioni 35 nataka kufanya biashara Kariakoo

    Kingine ni vile watu hawana uaminifu vinginevyo mnaungana wawili au watatu, mnakuza mtaji mwisho wa siku kila mtu anaweza kuwa na fremu yake.
  7. M

    Nina mtaji wa Milioni 35 nataka kufanya biashara Kariakoo

    Nilichogundua kilemba ndio changamoto inayofanya biashara iwe ya faida nyingi maana haiwi na watu wengi sana watakaoshusha bei ya bidhaa,inavyoonekana ukitoboa kwenye kilemba basi umeshatoboa kibiashara.😃
  8. M

    Kwanini Wizara ya Afya imeachana na nyungu ili kupambana na Corona?

    😅Kibajaji atatoa wapi akili hii ya gambo wa sasa!
  9. M

    Kwanini Wizara ya Afya imeachana na nyungu ili kupambana na Corona?

    Kama Gambo sijui kapata ubongo wa nani aisee!😃
  10. M

    Mwita Waitara apokelewa na maelfu ya wapiga kura wake, hii ni uthibitisho kuwa aliiangusha ngome ya CHADEMA Tarime

    Ukiwekwa uchaguzi huru na wa haki hata kesho waitara anang'oka mapema asubuhi!
  11. M

    Kwanini Amiri Jeshi Mkuu, Rais Samia Suluhu hakuvaa sare za Jeshi wakati akiwatunuku kamisheni wanajeshi?

    Huyo Faiza ningefurahi kama wangempiga moneylaundary moja ya kibabe😃
  12. M

    Kwanini niliacha kuwa "MATAGA" enzi za Dkt. Magufuli

    Uko sawa,lakini pia ukiacha vetting inatakiwa njia za kumdhibiti Rais akiwa madarakani maana mnaweza kufanya vetting vizuri lakini mtu akabadilika baadae.
  13. M

    Jicho la tatu: Inawezekana walichota kuokoa za Mzee Baba kwa hofu ya kutojua mrithi wake angekuwa na msimamo gani

    Hilo neno la urais ni taasisi nimeshalidharau kabisa na kuona ni takataka,na kama lipo basi sio Tanzania,labda ulaya huko.mtu alikuwa anajiamulia anavyotaka halafu useme taasisi,taasisi ya
  14. M

    Kwanini niliacha kuwa "MATAGA" enzi za Dkt. Magufuli

    Hata mimi nilikuwa chawa😃ila nilimkataa mapema sana,haikuwa hali ya kawaida kwa Tanzania yetu!viongozi wenye mamlaka ya kurekebisha ili kusitokee tena jambo kama hili wafanye hivyo sasa,hatari imeshaonekana maana huko mbele kunaweza kutokea kiongozi akawa mharibifu hakuna mfano na hakutakuwa na...
Back
Top Bottom