Recent content by mulumbu

  1. mulumbu

    Waliompiga picha na kuzisambaza binti anayehusishwa na chupa ya soda wanafaa kuchukuliwa hatua

    Aliyejirekodi alizingua, vile vile kwa mtazamo kama mzazi, ndugu wa binti, rafiki na jamii kwa ujumla aliyevujisha video ni mpuuzi/mshamba mambo private yanavujishwa hadharani ili iweje?
  2. mulumbu

    Mji upi ni zaidi ya mwenzie kati ya Arusha au Mwanza

    Mwanza ipo mbele ya Arusha kwenye mambo mengi, ila Arusha imeizidi Mwanza na sehemu nyingi za Tanzania kwenye huduma za mahoteli kutokana na exposure ya utalii
  3. mulumbu

    Umeshawahi kupiga One katika levo yoyote ya elimu? Tukutane hapa

    Mungu fundi, mwisho wa siku wote tutakufa, mvua ikinyesha leaching inatokea madegree, madiploma, ma certificate, madivision yoteee yote yanasombwa na maji kutoka ardhini yanakuwa deposited baharini na maziwa, shida kweli kweli...tumche Mungu
  4. mulumbu

    Wastaafu wawe wanaandaliwa kisaikojia kabla ya kukabidhiwa mafao

    Tusishangae sana kwani mshahara unaishaje? Ndio hivyo hivyo mafao yanaisha.....
  5. mulumbu

    Tafadhali AAR msichukue Maamuzi haya kwani Tanzania ya sasa tuna Rais mzuri Mama Samia Suluhu Hassan ( Mrejesha Tabasamu ) kwa Wananchi

    Bima ya afya kwa wote ni muhimu sana, hio ndio tunatakiwa kuifanyia maarifa iwezekane
  6. mulumbu

    Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi

    Mfano mwezi kuongea mitandao yote TSH 5000 dakika 300 kwa mwezi, wastani wa dakika 10 kila siku walau fair kwa mawasiliano ya kawaida
  7. mulumbu

    Baada ya kumjali na kupigania mafanikio yake, leo nimegeuka kuwa mshamba

    Duniani tunaishi mara moja, chagua furaha sio stress
  8. mulumbu

    Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi

    Kama mazingira yako yanaruhusu karibu ttcl walau bei fair kidogo
  9. mulumbu

    Namna ya kumkamata mwanaume!!

    Well said, amani huanzia nyumbani
  10. mulumbu

    Msaada wa suggestions za broker responsive DSE

    Shukrani sana, nitajaribu Orbit
  11. mulumbu

    Msaada wa suggestions za broker responsive DSE

    Wazo zuri kununua na kuhold kwa muda kwaajili ya growth, wwkati wa kununua kwa app unatakiwa uchaguz broker. Changamoto ipo hapo, nani ni responsive Kwenye hio list.
  12. mulumbu

    Msaada wa suggestions za broker responsive DSE

    Habari, naomba msaada wa kuapata suggestions za majina ya brokers wa DSE ambao kwa experience zenu wapo active, responsive kwa wateja wanaotaka kufanya trading ya kuuza na kununua hisa hasa kwa mihamala midogo midogo. NB. Kwa experience binafsi response sio mzuri mabroker hawajibu. Asante
  13. mulumbu

    Kwanini mwanaume huumia sana akijua kasalitiwa?

    pata picha ya gari ukipeleka kwa fundi litengenezwe, baada ya matengenezo fundi analifanyia testing kama gari limetengamaa hivi huwa mafundi wanandeshaje haya magari kwenye hio testing yao? fikiria gemu anayopigwa wife na mchepuko ipoje
  14. mulumbu

    Social media na ndoa yangu

    mapenzi na media yanakera! kila kitu kinachotokea reflection ni kwenye picha na status za fb na watsapp etc. ni upuuzi!
Back
Top Bottom