Recent content by mululu ihadasu

  1. M

    Msinishangae jamani!

    Mm nina imani ndoa inaendana na malenzi ya dhati bila kujali kazi wala chochote. Hataukiolewa na mwalimu afisa manunuzi kondakta wa daladala mkulima mvuvi nk kamahamkupendana ni kazi bure hamtaendelea lkn ukiolewa na yeyote mnaependana cna kwa kidogo mlicho nacho mtapanga mpaka mpata makubwa...
  2. M

    Prof. Baregu: Dhana ya kutumbua majipu ni ya Kienyeji

    Jipu lingine kubwa limejiivia na usahaa mzito ni uuzaji wa nyumba za serikali. Wajemeni hili mnalionaje?
  3. M

    Rais Magufuli aombwa ikibidi alivunje bunge

    Akivuja bunge maana yake na yy atavunjika uchaguzi mpya utafuata na huo ndo utakuwa mwisho wa fisiem
  4. M

    Prof. Baregu: Dhana ya kutumbua majipu ni ya Kienyeji

    Jipu kubwa ss hivi ni kutorusha matangazo ya bunge live. Hivi hapo nini kinafichwa?
  5. M

    Majogoo kuwika saa tatu usiku

    Shauriya climate change
  6. M

    CHADEMA Mkoa wa Dar es Salaam watoa tamko, wailaumu Televisheni ya Taifa kwa ubaguzi

    TBC ni chombo cha watanzanía wote. Radio uhuru ndo ya CCM. Si halali kwa TBC kufanya kazi za CCM tu
Back
Top Bottom