omarymbwambo
Member
- Sep 22, 2014
- 59
- 46
Siku hizi imekuwa kawaida hasa majogoo ya mjini kuanza kuwika saa tatu au saa nne usiku.nini maoni yako kwa hilo
Umeongea jambo la msingi sana! Hapa ni Jukwaa la kujifunzia na si la Utani/mzaha tuwe serious tupate elimu fulani kwa wengine ambao hatujui!Pamoja na kwamba mleta uzi Kauliza Swali la msingi sana, hata mimi nafuga kuku na jambo hili huwa linanitatiza sana, lakini disappointingly majibu anayopata ni ya ajabu. While I believe hapa JF kuna wajuzi wengi why kama huna majibu isipite tuu kimya kimya?? Zamani ukisema nitaondoka jogoo la kwanza it was real time lakini hawa majogoo wa leo si wa kutegemea kabisa..
Kawa hadimu huyu binadamu haonekani jukwaani