Recent content by Muluhulugungu

  1. M

    Nabii wa Afrika Kusini Atabiri kifo kwa kiongozi wa kisiasa Tanzania

    Uelewa wangu kuhusu manabii ni kwamba anapoutoa unabii huna haja ya kuwa na jazba. Bali ni kumshukuru Mungu kwa kukufunulia na kuliweka wazi jambo hilo. Kinachofuata ni kukata rufaa kupitia maombi ili Mungu atangue na kubatilisha hiyo roho ya mauti. Kila nafsi itaonja mauti,lakini si kwa namna...
  2. M

    Nabii wa Afrika Kusini Atabiri kifo kwa kiongozi wa kisiasa Tanzania

    Ujipange kisawa sawa. Alimtabiria marehemu John Komanya kifo kabla hajaonja umauti aachane na mwanamke aliyekuwa anaishi naye kwa vile alikuwa mke wa mtu. Jamaa akabisha na kutishia kumpeleka jamaa Uhamiaji asitishiwe ziara yake hapa nchini. Mwisho wa siku Komanya alifariki. Sent using Jamii...
  3. M

    Niulize swali lolote kuhusu wanawake

    Yeye ndiye ana matatizo tena makubwa sana. Yeye uchi wake umelegea( ana bwawa). Hili ni tatizo na changamoto kubwa sana. Hivi sasa watu wanachukuana ,wanaishi pamoja, inapoibuka changamoto hii hawajui la kufanya na wakimbilie wapi zaidi ya hitimisho la kupeana talaka. Hii changamoto inatokea...
  4. M

    SWALI: Kati ya Shetani na Adamu nani alikuwa wa kwanza kuwepo duniani

    Ila kwa kifupi shetani ndiye alikuwa wa kwanza kuwepo kabla ya Adamu. Mungu aliiweka sawa serikali yake huko mbinguni kabla ya kuanza kuumba dunia na vyote vilivyomo.
  5. M

    SWALI: Kati ya Shetani na Adamu nani alikuwa wa kwanza kuwepo duniani

    Malaika wapo wa matabaka mawili. Wapo wale walioshawishiwa na shetani na kumuasi Mungu theluthi moja (1/3) Biblia ,kitabu cha Ufunuo 12:4,7-8. Ndani ya hawa malaika kuna viumbe wasionekana wanaomsababishia mwanadamu kila aina ya madhara. Majini,mizimu,malaria,mikosi...
  6. M

    Kwanini hakuna nchi Afrika imewahi kumiliki ndege Aina ya Airbus 220-300?

    Mnajichanganya tena mnajichanganya kwa mno. Bombadier,Boeing na Airbus ni makampuni matatu tofauti. Makao Makuu ya Boeing yapo Atlanta,Marekani, Makao Makuu ya Airbus yapo Paris,Ufaransa. Airbus,Canada ni tawi la Airbus,Paris. Airbus mmiliki wake ni Umoja wa Ulaya(EU). Bombadier inamilikiwa na...
  7. M

    Kwanini hakuna nchi Afrika imewahi kumiliki ndege Aina ya Airbus 220-300?

    Ila hili la faida siyo kabisa, dunia nzima tumedanganywa. Billioni 20? Siyo kweli.
  8. M

    Kwanini hakuna nchi Afrika imewahi kumiliki ndege Aina ya Airbus 220-300?

    Bombadier, Airbus na Boeing ni makampuni matatu tofauti ya kutengeneza ndege. Makao Makuu ya Boeing yapo Atlanta,Marekani. Makao Makuu ya Airbus yapo Paris,Ufaransa. Hivyo Airbus, Canada ni tawi la Airbus. Hii kampuni ya Airbus inamilikiwa na nchi za umoja wa Ulaya(EU).
  9. M

    Alivyoleta dalili za kuniacha nikamwekea (Sanction ) vikwazo kama Marekani,sasa analia

    NI KWASABABU NAYE AMEMFUNULIA SEHEMU ZAKE ZA SIRI. Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
  10. M

    Alivyoleta dalili za kuniacha nikamwekea (Sanction ) vikwazo kama Marekani,sasa analia

    Uzoefu wangu au dhamira yangu inanishawishi nisipende kuingilia au kutoa ushauri kwa wapenzi ambao walikwisha onjeshana asali. Mwishowe utakuta wamekwisha rudiana na mimi kubaki nimeaibika nakufedheheshwa. Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
  11. M

    Msaada: Napendwa na wasichana mpaka kero

    Jina la Bishororo nani alikutungia?
  12. M

    Waziri wangu Ndalichako, mwanafunzi aliyetetewa kwa nguvu zote atafunzwa na dunia!

    We umesikia Baba yake au Mama yake wakilalamika.Kwa taarifa yenu huyu mtoto ameshindikana hata kwa wazazi wake.
  13. M

    Mkurugenzi wa jiji la Arusha adaiwa kufanya ubadhirifu wa milioni 500

    Kweli hata kwenye vitabu vitakatifu imeandikwa SHETANI HAMFITINI SHETANI MWENZIYE
Back
Top Bottom