SWALI: Kati ya Shetani na Adamu nani alikuwa wa kwanza kuwepo duniani

Kuumbwa Ibili (Shetani ) ni wa kwanza kabla ya Adam, ila kuja duniani walikuja kwa wakati mmoja baada ya wote kufukuzwa kutoka bustani ya Edeni.

USHAHUDI

KUUMBWA KWA ADAM (2:30 QUR AN) "( Wakumbushe watu khabari hii) Wkati mola wako alipowaambia malaika, Mimi nitaleta viumbe vingine kukaa katika ardhi, (Nao ndio wanadam) wakasema (malaika) utaweka humo watakaofanya uharibifu humo na kumwaga damu hali sisi tunakutukuza kwa sifa zako na kukutaja kwa utakatifu wako? Akasema (Mwenyezi Mungu) Hakika mimi nayajua msiyoyajua."

IBILISI ALIKUWEPO KABLA YA ADAM (2:34 QUR AN) "Na (wakumbushe watu khabari hii) Tulipo waambia malaika Msujudieni Adam ( Yaani mwadhimisheni kwa ile elimu yake aliyopewa). Wakmsujudia wote isipokuwa IBILISI akakataa na akajivuna na (Tokea hapo) alikuwa katika makafiri, (Ila alichanganyika tu na malaika) "

KUINGIA DUNIANI ( 2:36 QUR AN) " (Lakini) Shetani ( Yule IBILISI adui yao) aliwatelezesha wote wawili ( Wkakhalifu amri ile, wakala katika mti huo waliokatazwa) na akwatoa katika ile (hali) waliyokuwa nayo. Tukawaambia Nendeni hali ya kuwa maadui nyinyi kwa nyinyi , na makazi yenu (sasa) katika ardhi na (mtapata) starehe humo kwa muda (makhususi)."
 
Kwanza ujue kutofautisha
JINNI
MALAIKA NA
BINADAMU

JINNI ni kiumbe aloumbwa kwa moto lakini amepewa utashi wa kuamua nini afanye sifa yakee kuu kupendwa kutukuzwa na BINADAMU kujifanya yeye ni MKUU hadi wakati mwingini kujipachika UUNGU

MALAIKA aneumbwa kwa NURU sifa yake kuu ni kutekeleza kila aloagizwa na mola wake

BINADAMU ndo sisi tumeumbwa kwa UDONGO na UTASHI wa kuamua tumfate IBILISI MWENYEZIMUNGU au tubaki na MALUWELUWE kama wengi wapinga Uwepo wa MUNGU shetani nk ni wale wanaoamini wanachokijua wao na hata humu JF wapo wengi sana bila kujua sifa yetu kubwa sisi ni MAKHARIFA katika DUNIA lkn maskini hatujijui tunapelekweshwa na MAJINNI ambao wana DARJA dogo sana mbele yetu SISI NI MAKHARIFA yaan VIONGOZI katika DUNIA

Kisha ujue ninini maana ya SHETANI
SHETANI ni KIUMBE KILICHO HASI yaan kumkataa MOLA WAKE kwa hiyo tunaona Ushetani ni SIFA YA KIUMBE hata BINADAMU anaweza kuwa SHETANI na SHETANI mkuu kabisa ni IBILISI kwa hiyo hapo tuseme unamzungumzia IBILISI

maana ya SHETANI Km tulivyoona hapo juu KIUMBE kilicho hasi kwa kumkataa MOLA wake naye MOLA akamkataa

story kwa ufupi:-
Hapo kabla kulikuwa na viumbe kabla ya BINADAMU ambao ni MAJINNI ingawa katika Vitabu vyote vya MWENYEZIMUNGU Hawakuelezwa kwa undani ila tunapata kuambiwa baada kufanya UHARIBIFU MKUBWA katika DUNIA yao
MWENYEZIMUNGU akatuma jeshi la malaika kwenda kuwaangamiza wote
Baada kumaliza hiyo kazi na kurudi wakijua wamewaua wote lakini MWENYEZIMUNGU akawaambia bado mmoja yupo sehemu furani amejificha ila msimuue mleteni
ndo huyu sasa IBILISI au JINNI MKUU SHETANI MKUU unayemzungumzia wewe
Mpaka hapa tunaona kuwa IBILISI au SHETANI MKUU alikuwa JINNI na si katika MALAIKA kama wengi wanavyodhania kuwa ni MALAIKA MUHASI
Basi baada kufika mbinguni akawa katika KUNDI MOJA NA MALAIKA akakulia MBINGUNI na katika maisha ya mbinguni akawa MCHAMUNGU kwelikweli kiasi mpaka MWENYENZI MUNGU akawa anampa UPENDELEO na akawa kipenzi chake kwelikweli kwa uchamungu wake hadi akamkabidhi FUNGUO za PEPONI yote ni kwa uchamungu wake ulotukuka
Ushetani ulianza baada MWENYEZIMUNGU kumuumba ADAMU kwa mfano wake aje kuwa KHALIFA katika DUNIA
IBILISI hapo alichukizwa sana kuona ADAMU anamuona anaumbwa tangu UDONGO mpaka kutiwa PUMZI leo yeye awe KHALIFA katika DUNIA na hata alipoambiwa msujudie ADAMU pamoja na MALAIKA IBILISI alikataa akaonyesha sasa tabia zaje za kijinni akasema MIMI NI BORA KULIKO HUYU NIMEUMBWA KWA MOTO YEYE KAUMBWA KWA UDONGO SIWEZI KUMSUJUDIA
Basi tangu hapo mungu akamlaani na akamkataa ba ndipo SIFA YA USHETANI ILIPOMVAA tangu wakati huo mpk kesho QIYAMA
Na kwakuwa akutaka kwenda pekee MOTONI akamuombaa MOLA ampe UHAI mpaka siku ya QIYAMA na akaahudi atasima katikati ya heri na shari atamfanyia FITINA ADAMU na kizazi chake chote kiungane na yeye kwenda MOTONI atataka aende peke yaje

Basi mpaka hapo nadhani utakuwa unaanza kupatapata majibu ya swali lako

next tyme nitakuelezea maisha baada adamu kutiwa pumzi mpk kutolewa pande ya ubavu wake kuja MAMA WA BINADAMU wote hadi namna ibilisi alivyomshawishi mpk kutimuliwa EDENI hadi namna walivyo shushwa duniani wote wa tatu sehemu waliposhukia ambapo sasa panaitwa vipi na vipi walivoishi mpk ADAMU kukutana upya tena na HAWA ni sehemu ambapo sasa panaitwaje na Jinsi gani IBILISI alivyoiendesha CHUKI dhidi ya ADAMU na kizazi chake mpka Kusurvive katila GHARIKA ya NUU na mengne mengi so twende step by step kwa maelezo yakinifu
hadi tutafikia kwenye msingi wa swali lako

Chanzo ni kwa msaada wa QURAN (Kitabu kisicho na hata na chembe ya shaka ndani) pamoja na HADITHI za MTUME MUHHAMAD NA MASWAHABA WAKE

Mimi nina maswali kwako:
1) tunaona binadamu wapo wengi na je shetani ni kiumbe kimoja au wapo wengi kama ilivyo kwa binadamu?
2) majini na huyo shetani mkuu ndio wa kwanza kuishi duniani kabla ya binadamu?
3)kama ibilis alianzia kuishi duniani kisha malaika ndio akampeleka mbinguni, je ibilis pamoja na majini wenzie waliumbwa wakiwa duniani? Kama waliumbwa wakiwa mbinguni je ni kipi kilichowatoa na kwenda duniani ilihali viumbe vyote vilikuwa mbinguni (malaika na binadamu)
4) (rangi blue) je ibilis alivyokuwa mchamungu mbinguni alibadilika jina na kuwa malaika? Maana umeandika malaika ibilis nawakati mwanzoni ulisema kuwa ibilis ana asili ya jini.
5)kwa mujibu wa story yako huyo ibilis alikuwa na sifa ya ushetani kabla hata ya kuambiwa na Mungu kuwa amsujudie Adam ndio maana ulisema jeshi la Mungu liliwatafuta, sifa ya Mungu ni kujua ya sasa na ya baadae sasa hakujua kama huyo ibilis atarudi katika asilia yake?
6) (rangi ya kijani) kutokana na Mungu kujua kabisa uwezo wa binadamu na huyu shetani ni tofauti kwamaana ya kwamba binadamu hajakamilika na ilihali ibilis ni mjanja kuliko binadamu, inawezekana vipi amkubalie ombi la shetani badala ya kumlinda kiumbe chake kisihadaike? Ni sawa na mtu anayeomba mpambano na mtoto wako ili mradi tu akuoneshe kuwa wewe na mwanao hamna lolote kutokana na kutambiana, sasa ukiruhusu mwanao apambane halafu akipigwa basi aibu ni kwa wote (baba na mtoto)
 
Kwanza ujue kutofautisha
JINNI
MALAIKA NA
BINADAMU

JINNI ni kiumbe aloumbwa kwa moto lakini amepewa utashi wa kuamua nini afanye sifa yakee kuu kupendwa kutukuzwa na BINADAMU kujifanya yeye ni MKUU hadi wakati mwingini kujipachika UUNGU

MALAIKA aneumbwa kwa NURU sifa yake kuu ni kutekeleza kila aloagizwa na mola wake

BINADAMU ndo sisi tumeumbwa kwa UDONGO na UTASHI wa kuamua tumfate IBILISI MWENYEZIMUNGU au tubaki na MALUWELUWE kama wengi wapinga Uwepo wa MUNGU shetani nk ni wale wanaoamini wanachokijua wao na hata humu JF wapo wengi sana bila kujua sifa yetu kubwa sisi ni MAKHARIFA katika DUNIA lkn maskini hatujijui tunapelekweshwa na MAJINNI ambao wana DARJA dogo sana mbele yetu SISI NI MAKHARIFA yaan VIONGOZI katika DUNIA

Kisha ujue ninini maana ya SHETANI
SHETANI ni KIUMBE KILICHO HASI yaan kumkataa MOLA WAKE kwa hiyo tunaona Ushetani ni SIFA YA KIUMBE hata BINADAMU anaweza kuwa SHETANI na SHETANI mkuu kabisa ni IBILISI kwa hiyo hapo tuseme unamzungumzia IBILISI

maana ya SHETANI Km tulivyoona hapo juu KIUMBE kilicho hasi kwa kumkataa MOLA wake naye MOLA akamkataa

story kwa ufupi:-
Hapo kabla kulikuwa na viumbe kabla ya BINADAMU ambao ni MAJINNI ingawa katika Vitabu vyote vya MWENYEZIMUNGU Hawakuelezwa kwa undani ila tunapata kuambiwa baada kufanya UHARIBIFU MKUBWA katika DUNIA yao
MWENYEZIMUNGU akatuma jeshi la malaika kwenda kuwaangamiza wote
Baada kumaliza hiyo kazi na kurudi wakijua wamewaua wote lakini MWENYEZIMUNGU akawaambia bado mmoja yupo sehemu furani amejificha ila msimuue mleteni
ndo huyu sasa IBILISI au JINNI MKUU SHETANI MKUU unayemzungumzia wewe
Mpaka hapa tunaona kuwa IBILISI au SHETANI MKUU alikuwa JINNI na si katika MALAIKA kama wengi wanavyodhania kuwa ni MALAIKA MUHASI
Basi baada kufika mbinguni akawa katika KUNDI MOJA NA MALAIKA akakulia MBINGUNI na katika maisha ya mbinguni akawa MCHAMUNGU kwelikweli kiasi mpaka MWENYENZI MUNGU akawa anampa UPENDELEO na akawa kipenzi chake kwelikweli kwa uchamungu wake hadi akamkabidhi FUNGUO za PEPONI yote ni kwa uchamungu wake ulotukuka
Ushetani ulianza baada MWENYEZIMUNGU kumuumba ADAMU kwa mfano wake aje kuwa KHALIFA katika DUNIA
IBILISI hapo alichukizwa sana kuona ADAMU anamuona anaumbwa tangu UDONGO mpaka kutiwa PUMZI leo yeye awe KHALIFA katika DUNIA na hata alipoambiwa msujudie ADAMU pamoja na MALAIKA IBILISI alikataa akaonyesha sasa tabia zaje za kijinni akasema MIMI NI BORA KULIKO HUYU NIMEUMBWA KWA MOTO YEYE KAUMBWA KWA UDONGO SIWEZI KUMSUJUDIA
Basi tangu hapo mungu akamlaani na akamkataa ba ndipo SIFA YA USHETANI ILIPOMVAA tangu wakati huo mpk kesho QIYAMA
Na kwakuwa akutaka kwenda pekee MOTONI akamuombaa MOLA ampe UHAI mpaka siku ya QIYAMA na akaahudi atasima katikati ya heri na shari atamfanyia FITINA ADAMU na kizazi chake chote kiungane na yeye kwenda MOTONI atataka aende peke yaje

Basi mpaka hapo nadhani utakuwa unaanza kupatapata majibu ya swali lako

next tyme nitakuelezea maisha baada adamu kutiwa pumzi mpk kutolewa pande ya ubavu wake kuja MAMA WA BINADAMU wote hadi namna ibilisi alivyomshawishi mpk kutimuliwa EDENI hadi namna walivyo shushwa duniani wote wa tatu sehemu waliposhukia ambapo sasa panaitwa vipi na vipi walivoishi mpk ADAMU kukutana upya tena na HAWA ni sehemu ambapo sasa panaitwaje na Jinsi gani IBILISI alivyoiendesha CHUKI dhidi ya ADAMU na kizazi chake mpka Kusurvive katila GHARIKA ya NUU na mengne mengi so twende step by step kwa maelezo yakinifu
hadi tutafikia kwenye msingi wa swali lako

Chanzo ni kwa msaada wa QURAN (Kitabu kisicho na hata na chembe ya shaka ndani) pamoja na HADITHI za MTUME MUHHAMAD NA MASWAHABA WAKE
Well done mkuu
 
Binadamu pia anaweza kuwa shetani. Shetani ni sifa sio mtu.

Mashetani ni katika majini na watu.

Ila kama unauliza kuhusu Ibilisi na Adam, basi Ibilisi alikuwa wa kwanza kuumbwa kuliko Adam (a.s)

NB:
Ibilisi alikuwa malaika kabla hajahasi.
 
Ngoja waje mkuu walioshika vyema dini
Mimi sijashika dini lakini nitakupa majibu kwa uelewa wangu:

Shetwani ndie wa kwanza kushushwa hapa town, na hakushushwa kwa utaratibu mzuri.... Alizingua kule juu akataka kumpindua Mungu akaona isiwe tabu ndo akamteremsha fasta. Na ndo maana utaona hata katika mazungumzo ya Eva na shetwani, shetwani ndo alionekana kujua jografia ya garden kuliko Eva...

NB. Kumbuka huyu bwege ni bonge la msanii, akiamua kuimba hapa wote tutaingia kwenye show. Na ndo maana anawagawia wasanii wa music sehemu tu ya kipaji chake. Unachotakiwa Kufanya ni kukiri tu kuwa unamwaminia.

Alikuwa anamwimbia Mungu Huko juu na ndo maana kila ambaye anajitokeza kujifanya anamwimbia Mungu na akawa Hana msimamo lazima ile kwake Kiimani. Angalia waimba injili wetu na maisha Yao ya kila siku..

Huyu Jamaa ni mazafanta.
Sio Duniani mkuu mwanzoni hao wote walikuwa wakiishi peponi.
 
Habari ya saizi wakuu humu JF natumaini wengine wameshapumzika na wengine bado

Kuna swali linawahusu wale waliojua maarifa ya ki Mungu yaani wameyashika maandiko Ya Mungu

Swali lenyewe ni hili

Je! Kati ya shetani na Adamu yupi alikuwa wa kwanza kuwepo duniani majibu yawe na refferences

Nawakilisha kwenu
Wote ni "conspiracy" - hawakuwahi kuwepo na hawatakuwepo
 
Ni kweli Bustani ilikuwa ikilindwa na malaika. Kumbuka shetani ni mwerevu sana mwenye maarifa mengi, anaja siri karibu zote za mungu. alishawahi kuwa malaika mkuu na msaidizi mkuu wa mungu. Sasa siku ya tukio aliwahadaa wale malaika walinzi wa bustani (maserafi) akaingia bustanini bila wao kumuona. hapo shetani akawahadaa adam na hawa. fahamu pia kwamba hao malaika waliowekwa kulinda bustani hawana nguvu sana kama akina malaika Gabriel au Mikaeli waliopewa nguvu za kumshinda na kumfukuzia mbali shetani. hata hivyo hao malaika waliokuwa wakilinda bustani ya eden kwa sasa wako mbinguni karibu na kiti cha enzi anapokaa mungu, kazi yao kuabudu kwa kuinama na kupiga magoti mbele za mungu masaa yote (sijui ndo azabu waliopewa kwa kushindwa kumzuia shetani, mimi hili sijui). Wale wenzao (makerubi) kazi yao ni kuimba nyimbo huko mbinguni. Nyimbo hizi ni za kumsifu mungu na wanaimba mda wote (inasadikiwa hawali wala kulala).

SUALA LA BUSTANI KULINDWA LILIKUJA BAADA YA ADAMU KUFUKUZWA ASIJEKULA MATUNDA YA UZIMA WA MILELE.

MWANZO 3
22. Kisha Bwana Mungu akasema, “Sasa mtu huyu amekuwa kama mmoja wetu, kwa kujua mema na mabaya. Sharti asiruhusiwe kunyoosha mkono wake na kuchuma pia kutoka mti wa uzima akala, naye akaishi milele.”
23. Hivyo Bwana Mungu akamfukuzia mbali kutoka Bustani ya Edeni, akalime ardhi ambamo alitolewa.
24. Baada ya kumfukuzia mbali Adamu, Mungu akaweka makerubi mashariki ya Bustani ya Edeni, pamoja na upanga wa moto ukimulika huku na huko kulinda njia ya kuuendea mti wa uzima.
 
Well done mkuu

Malaika wapo wa matabaka mawili. Wapo wale walioshawishiwa na shetani na kumuasi Mungu theluthi moja (1/3) Biblia ,kitabu cha Ufunuo 12:4,7-8. Ndani ya hawa malaika kuna viumbe wasionekana wanaomsababishia mwanadamu kila aina ya madhara. Majini,mizimu,malaria,mikosi, utasa,chunusi,ajali,hasara,uchawi,ugomvi,chuki na malaika wengine wa jinsi hiyo. Kuna malaika theluthi mbili (2/3) wakiongozwa na Mikaeli walibaki kuwa waaminifu kwa Mungu.
 
Habari ya saizi wakuu humu JF natumaini wengine wameshapumzika na wengine bado

Kuna swali linawahusu wale waliojua maarifa ya ki Mungu yaani wameyashika maandiko Ya Mungu

Swali lenyewe ni hili

Je! Kati ya shetani na Adamu yupi alikuwa wa kwanza kuwepo duniani majibu yawe na refferences

Nawakilisha kwenu

Ila kwa kifupi shetani ndiye alikuwa wa kwanza kuwepo kabla ya Adamu. Mungu aliiweka sawa serikali yake huko mbinguni kabla ya kuanza kuumba dunia na vyote vilivyomo.
 
Kama unamzungumzia shetani basi alitoke baada ya adamu kuumbwa.
kabla ya Adamu hakua shetani ila alijulikana kama ibilisi(jini)aliyekua akiishi pamoja na malaika.

Hivyo baada ya kukataa kumsujudia Adamu ndipo alipolaaniwa nakubadilika kua shetani, hapo inaonesha baada ya adamu kuumbwa ndipo ibilisi alipokuja kuwa shetani.
reference mafundisho ya dini ya kiislam. Inahitajika akili ya ziada kidogo kunielewa
 
Lucifer, ndiye anayeitwa Leo shetani baada ya Kufukuzwa mbinguni, alitupwa hapa duniani. Maandiko hayasemi ni muda UPI alitupwa hapa duniani.
Lucifer, ni malaika na malaika ni viumbe walioumbwa na MUNGU kwa kazi mbali mbali. Na kila malaika ana mamlaka na uwezo tofauti na malaika mwingine.
Lucifer ni mmoja wa malaika waliopewa uwezo au daraja la juu miongoni mwa malaika.
Malaika ni kiumbe asiyekuwa na mwili ni roho.
Mwanaadamu ameumbwa kwa daraja bora zaidi (Roho, Mwili na Nafsi).
Jini ni muunganiko wa malaika zaidi ya mmoja. Malaika wawili au zaidi Wanaweza kuunganisha nguvu zao na kuwa malaika mmoja hapo huwezi kuwaita malaika bali ni jini.
Ukiangalia habari ya yule Mtu aliyekuwa akiishi makaburini, Bwana YESU alimwuliza wewe ni nani?. Alijubu kuwa yeye ni jeshi, maana yake malaika wengi.
Na baada ya kuamriwa wamtoke waliomba waruhusiwe kuwavaa nguruwe waliokuwa kundi kubwa zaidi ya mia tatu. Kila nguruwe alivaliwa na malaika na kuangukia majini.
Jini linaitwa jini wakati malaika mmoja ameunganisha nguvu zake na malaika mwingine mmoja au zaidi ya mmoja.
 
Back
Top Bottom