Recent content by mulube

  1. M

    Lema: Kinana jiunge na FUTUHI

    We mingoi nyamaza kabisa kama hujui kufatilia habar funga mdomo, daudi safar ninavyoandika sasa ni mwana ACT kwenye hiyo saccos yenu ya wachagga ameshahama
  2. M

    Lema: Kinana jiunge na FUTUHI

    Teh teh dust bin ndani ya siku mia zimemshinda ndio ataweza leta ambulance
  3. M

    Lema: Kinana jiunge na FUTUHI

    Jamaa anao ushahidi kaka we tukia muda c mrefu mambo yatawekwa hadharani
  4. M

    Lema: Kinana jiunge na FUTUHI

    Huyo jamaa pembeni aliyevaa kizibao cheusi anazo copy zote za mauziano ya ambulance na trekta baada ya kurushana genji sasa hivi ni madui wakubwa, hiv punde nimetoka kuongea nae ataweka mambo hadharani
  5. M

    Lema: Kinana jiunge na FUTUHI

    Kweli lema ni mwehu yaani trekta na jiji wapi na wapi, nani jijini analima
  6. M

    Rais kwenda kuzindua kituo cha Azam TV siyo sahihi

    Je hao wengine walimualika akakata kwenda? Dawa yako ww ni mb ziwe 4 ndio utaacha post pumba
  7. M

    Wanaume tukutane hapa tumshauri Captain Gardner

    Au jide alikuwa anataka cheti cha ndoa
Back
Top Bottom