Uongo mtupu huyu mzimbwabwe anaitwa S k Moyo alishawahi kuwa balozi south Africa na sasa hivi ni kiongozi mwandamizi ZANU PF. ...Gonga wikipedia utaona habari zake wanatofautiana na Mugabe kwa sasa
Hakuna haja ya kutowa povu kama hamjuwi nini toka siku hizo inazungumziwa nendeni zanzibar mukaione inafanya nini kama watanzania wenzenu hamuwaamini mbona hata Kenya ipo ..kama vile viongozi wanapokwenda nchi mbalimbali kujifunza mambo wafunge safari kwenda Kenya ili waje kuwaelezea wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.