Mm ninatatizo kama lako nimewatembelea Leo kule ofisini kwao wameniambia kwamba nisibadilishe kitu kwenye profile yangu niache hvyohvyo wanaendelea na selection Leo jioni hadi wiki ijayo
Inahusu utaalamu wa macho na miwani pamoja na uono hafifu ina dili sana huwez kuwa masikin kabisa tena unauwezekano ukiwa mjanja hapa mjini unaweza miliki vutega uchumi vingi sana kupitia hyo professional...
Jamani wana JF profile yangu ipo hivi nisaidien wanamaanisha nn?? Ila mara ya kwanza iliandika resets application!!! Muda huu ipo hivi...mwenye kujua anisaidie
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.