Msaada kwa anaefahamu hili kwa wale wa NACTE

Msaada kwa anaefahamu hili kwa wale wa NACTE

Sielewi chochote nacte jmn, wameniandikia reset choice mpaka naisi kuzmia, yan mpaka leo hawajatoa wanategemea tutajipangaje? Daaah
 
Yani nacte wamekuwa michosho kabisa! Wanaongeza muda wa nini tena? Tuliomba mapema kabla ya tarehe 31/8/2015 tutoleeni majina na sisi tupate muda wakujiandaa, hali c nzuri muda huu.
 
nlkua namalizia kuchagua vyuo..ila course zlzojaa ktk chuo huska hazipo..pia..vimebaki vyuo ambavyo bado vna nafasi..
 
Yesterday at 9:18am
National Council for Technical Education
(NACTE)
Hiyo utaitumia endapo utahitajika kubadili
machaguo kama hutopata yale uliochagua.
6 hours ago · Sent from Mobile
Semm nimewauliza nacte na wamenujibu hvy kuhusu hli tatizo la futa machaguo
 
jaman niliomba udsm udom muce nmekosa kupitia equivalent. profile IPO vilevile.msaada wakuu nichague upya au nisubiri batch two kwa vyuo hivyo?
 
jaman niliomba udsm udom muce nmekosa kupitia equivalent. profile IPO vilevile.msaada wakuu nichague upya au nisubiri batch two kwa vyuo hivyo?

We umejuaje kama umekosa?!kwani nacte washatoa post zenu?!
 
ninewasiliana na nacte nimewauliza kuhusu ayo mambo wanasema tusubiri selection bac hatuna jinsi ni kusubiri tu ndugu zangu....
 
Ukijiloga tu kukubali kubadilisha hzo koz huzikuti tena maana admission capacity itakua zero imemkuta mchiz wangu, jaribu upate koz usizotarajia:bump:
 
Jamani wana JF profile yangu ipo hivi nisaidien wanamaanisha nn?? Ila mara ya kwanza iliandika resets application!!! Muda huu ipo hivi...mwenye kujua anisaidie
 
Attachments

  • 1443623428059.jpg
    1443623428059.jpg
    50.8 KB · Views: 236
Kwenye profile yangu wameandika hivi. Conglatulation for succesfully complited online admission into bachelar degree in Tz at any time before 16/10/15 you can modify your choices by clicking profile link. Je ndio kusema course nilizoomba nimekosea au Nacte wameamua kuongeza tu siku. Msaada wadau.
 
Na Mimi hivyo hivyo
 
anhaaa mbona hukusema mapema? hapo wanakukumbusha 2 utunze kikatio chako ili uichinjie baharini CCM october 25..
CHAGUA LOWASSA profile yako haitasumbua teeeena.
 
Kwenye profile yangu wameandika hivi. Conglatulation for succesfully complited online admission into bachelar degree in Tz at any time before 16/10/15 you can modify your choices by clicking profile link. Je ndio kusema course nilizoomba nimekosea au Nacte wameamua kuongeza tu siku. Msaada wadau.

thn zile categories ulizochagua zipo vile vile na apo chn mwshn wamekuandikiaje?
 
Mi pia zipo hivyohivyo lakin chin mwishon wameandika continue with application, vipi ikopoa au ndio magumashi? Msaada jaman.
 
Naomba msaada wenu hivi tulioomba vyuo kwa kutumia NACTE majina waliochaguliwa yanawekwa kwenye website ya NACTE au yanawekwa kwenye website ya vyuo pamoja na wale Fresh. Maana kuna ndugu yangu kaomba UDSM na UDOM ila majina yametoka yeye hayumo, na kwenye profile yake hajaandikiwa chochote na kwenye website ya NACTE hawajatoa majina yoyote...!!
 
Kwa uzoefu wa Mwaka jana, niliomba kupitia NACTE lkn majina yalitolewa TCU.
 
jamani hivi inawezekana kuomba bachelor degree in engineering ukiwa na full tecnician yaan NTA LEVEL 5?
 
Back
Top Bottom