Recent content by mulafyosa

  1. mulafyosa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Treni ya kwanza ya SGR yakamilisha jaribio la safari kwa masaa 6

    Kenyan are always serious sisi ni makelele tu Kwa jukwaa
  2. mulafyosa

    JamiiForums Tanzania Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu na mama yake wahamia CHADEMA kutoka CCM

    Bundi akihama mti Habadiliki kuwa Njiwa ni Bundi tu
  3. mulafyosa

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

    Unafiki ni jambo baya Viva Makonda
  4. mulafyosa

    JamiiForums Tanzania Moto wateketeza jengo la makazi ya askari wa FFU mjini Moshi

    Hivi maji ya washa washa hayazimi moto Nawaza tu kwa sauti apa
  5. mulafyosa

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa wa Arusha akimbiwa na mke wa Marehemu

    A city beibe ukisikia watu wako conscious ni huko sometimes uhuru wa kaskazini lingekua jambo jema kuliko hili li Tanganyika letu wangekua hatua kadhaa kuliko li tanganyika lililobaki
  6. mulafyosa

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Serikali yangu haitayafumbia macho magazeti mawili yanayoandika habari za uchochezi

    Tanzania Daima na Mwanahalisi nawaza tu kwa sauti apa
  7. mulafyosa

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kilombero(CHADEMA) Mh. Lijualikali, afungwa jela miezi sita

    Sawa Afande fulani
  8. mulafyosa

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi juu ya shitaka namba 3 la kutokutumia .tz

    Nguvu inayotumika kuminya UHURU wa habari ingetumika dhidi ya madawa ya kulevya mAteja wangekua wachache
  9. mulafyosa

    JamiiForums Tanzania Arusha: Yaliyojiri kutoka mahakamani, rufaa ya Mbunge wa Arusha G. Lema, anyimwa dhamana

    Doooh 2020 kazi ipo huyu jamaa ndio namna yake ya kuuteka Umati hio (public symphacy) pumzika Kisongo Mb. Ila ujifunze kuwa na akiba ya maneno
  10. mulafyosa

    JamiiForums Tanzania Huyu Laizer wa WCB ni habari nyingine

    Ujui ulisemalo tofautisha kwanza Music Producer na video Directors afu uje uendeleze sifa zako kwa huyu lizer
  11. mulafyosa

    JamiiForums Tanzania Arusha: Yaliyojiri kutoka mahakamani Arusha, dhamana ya Mbunge Lema yashindikana

    Ingekuwa uhujumu Uchumi pia unachukuliwa serious hivi hii nchi ingekua mbali mpka maninja Mahakamani nadhani hakujawahi kutokea nchi ya kipuuzi toka kuumbwa kwa dunia hii kamaa hii ambayo mimi ni mwananchi wake
  12. mulafyosa

    JamiiForums Tanzania Issue ya Mikopo ya Elimu ya Juu itamharibia sana rais Magufuli

    Mpaka sasa nauona UOVYO wake, yaani aliropoka pale AL HASSAN MWINYI stadium Tabora ila leo kakaa kimya huyu mtu ananitia shaka kama atatimiza mengine
  13. mulafyosa

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Karibu tujadili masuala yote kuhusu Mikopo ya Elimu ya Juu

    Kuna mtu akiwa pale Ali Hassan Mwinyi Stadium, Tabora aliropoka na maneno yalimtoka kweli kuhusu "MIKOPO YA ELIMU YA JUU" leo yuko kimya kazi kupambana na Wapinzani hili li nchi lina Laana si bure
Back
Top Bottom