Recent content by MULA OMARY

  1. M

    JamiiForums Tanzania Uwekeze au ujenge Nyumba ya kupangisha?

    Hesabu mbovu sana hizi,,ukichukua 20 milioni ukagawanya kwa idadi ya miaka,miezi,na siku unapata huyu mtu alikua anaingiza shilingi ngapi kwa siku??
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini? Ndoa ina miezi 10, mke wangu kabadili dini kaolewa na mwanaume mwingine

    Mi huwa nashangaa kitu kimoja hivi mwanamke anaanzaje kuisumbua akili yako ilhali una shughuli zako zinazokuingizia kipato,,concentrate kwenye mambo yako mkuu achana nae watakuja wengine siku hizi wanawake wote furaha yao ni ndoa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hivi marehemu Ndugulile alipigiwa Kampeni kama hizi anazopigiwa Profesa Janabi?

    Muwe mnafuatlia mambo,,kwenye msiba wa Ndungulile JK alisema kabisa alihusika pakubwa tu kwenye kumnadi kipindi anagombea. Watz tunashida sana
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mnaikumbuka hii picha ya huyu mwamba anae wabeza wasomi?

    Huyo Doto Magari ni mchekeshaji so kama huchukulii mambo serious wala hasumbui,,anatumia njia ya kuponda wasomi kama kinogesho kwenye biashara anayoipromot ya magari
  5. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mradi wa kuzalisha umeme wa bwawa la Mwalimu Nyerere umekamilika

    Uwe unafuatilia mambo kwa kina kama unataka kuelewa na sio kuponda tu,,umeme wa kutoka Ethiopia utasaidia wananchi wa kaskazini tu wenye changamoto ya umeme mdogo(low voltage).Sasa ulitaka shirika litumie gharama kubwa kutatua changamoto hiyo ikiwa soln rahisi yenye gharama ndogo ipo tumia akili...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ni bora mwanaume anayenunua kuliko anayehudumia

    Hii ni sahihi sana maana Malaya ukimnunua atakugharimu labda 50,000 maximum ila mchepuko unaulipia kodi ya nyumba,simu iliharibika,mama anaumwa,dogo hana ada ya shule,hela ya mtaji,bando,umeme,maji na kadhalika
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vijana wa kiume ambao hawajaoa

    Hapo no 5 kazia hapo
  8. M

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa TANESCO Mbeya kukata Umeme mkoa wote siku nzima Jumapili wakati wa ziara ya Lissu ni tukio la kinasibu au hujuma ya Kisiasa?

    Kabla ya bwana la Mwl Nyerere kukamilika hakuna mwaka uliwahi kupita bila mgao tena mgao mkubwa tu ulikuwepo sema Jina lilishift kutoka mgao wa umeme hadi matengenezo
  9. M

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa TANESCO Mbeya kukata Umeme mkoa wote siku nzima Jumapili wakati wa ziara ya Lissu ni tukio la kinasibu au hujuma ya Kisiasa?

    Watanzania tupunguze mawazo hasi muda wote,,hayo ni matengenezo kinga yaliyopangwa muda mrefu,,mkuu kabla ya kuleta mada ya kimhemko chunguza kwanza.Punguzeni kelele zisizo na tija
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kariakoo tuwaache wachina watufundishe biashara

    Wao wachina wanaruhusu ukafanye biashara za umachinga nchini kwao??
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nunua gari Ndugu yangu. Aibu ndogo ndogo zinaepukika

    Sure tatizo vijana hawajazungukazunguka duniani huko
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nunua gari Ndugu yangu. Aibu ndogo ndogo zinaepukika

    Kiukweli mi sijawa na gari japo uwezo wa kuwa nalo nnao hata leo,,kinachonishangaza ikifika tarehe 15-22 napigiwa sana simu za kukopwa hela na hao wenye magari mpaka najiuliza sasa huyu hiyo e.g 30m aliyonunulia gari si angeizungusha ili kuepukana na kuwa omba omba😅😅😅😇
  13. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni taratibu za rufaa Wizara ya Elimu, mwanangu kapata division three wakati hana uwezo huo

    Dah mwanangu 2009 watu walifeli sana chunguza
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kama Taifa Tunampango gani?

    Dah nasikitika huu uongo ulienezwaga na ukasambaa kweli kweli, imagine mtu asababishe huduma ya umeme isipatikane kisa generator ambalo pengine halifiki hata milioni 50,,kabla hujaamini taarifa unayopewa fanya uchunguzi kwanza mkuu
  15. M

    JamiiForums Tanzania Watoto ni gharama si baraka. Kabla hujafikiria kuzaa watoto tambua hili mapema

    Haya maelezo mepesi sana mkuu,,ikumbukwe wewe kuzaliwa ni either walipanga watu wawili wewe ukiwa haupo au hawakupanga wewe ukatokea kama bahati mbaya kwa hivyo hata wasingekuleta duniani siyo issue kwa maana ndiyo hivyo hawajakuleta,,lakini kumleta duniani mtu halafu aje ataabike huo ni uzwazwa...
Back
Top Bottom