Aziz karogwa.....wee sii unamuona ata anavyokuwa zoba akiwa na mobetoHayana mwongozo, mbona hamisa kaolewa kwa pesa nyingi na ana watoto wawili na baba zao wale palee wamekaa.
Ile Mimi binafsi siamini kama ni Ndoa ya kweli. Naona ni usanii tu wa kupumbuza raia wasifikirie mambo ya msingi. Nitaamini kwamba ni Ndoa kweli siku Aziz mkataba wake na Yanga ukiisha nione kama atasepa na huyo "mkewe" kwenda nae kwa Traore!Hayana mwongozo, mbona hamisa kaolewa kwa pesa nyingi na ana watoto wawili na baba zao wale palee wamekaa.
Sasa hii ndio point yenyewe.Hakuna changamoto kubwa kwa kijana kama ya kiuchumi. Yaan kuna wakati muda unaona unakimbia, umri unakutupa mkono, kiuchumi hujakaa sawa na kuanza familia bado, dalili ya kazi huna, mtaji huna, una piga tu vishughuli ambavyo inakutosheleza wewe mwenyewe hela ya kula 🥹🥹🥹🥹
Kabisa kabisa.....maana we have been given all the warnings and advise. Tushindwe wenyewe tuu.Wale ambao hatujaoa na tunasoma hizi nyuzi za JF, tukija kuoa kwa kukosea hakika Mungu atatuhukumu vikali.
Sawa Hamisa mobeto wa BuzaHayana mwongozo, mbona hamisa kaolewa kwa pesa nyingi na ana watoto wawili na baba zao wale palee wamekaa.