Akili yako unaijua mwenyewe utaboresha maisha ya watz pesa watoa wapi bila kuwekeza ? Utaboreshaje maisha ya wananchi kama wanatumia mabilioni ya pesa kwa kukaa kwenye foleni ? wengine uelewa wenu mdogo kwa maswala kama haya ya kiuchumi ! uwekezaji mkubwa huu ndio una matokeo chanya ya uchumi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.