Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,606
- 1,956
Tanesco is whole owned by Government.
The order came from Head of Government
The order came from Head of Government
Ukiona nchi kama Marekani, China whatever even European countries ziko na maendeleo ujue kuna watu waliumia, so inatubidi tukubaliane na hii transitional period, kwa pamoja tutaijenga nchi.
Kama huyu alivyoshauri
Kwani lile Jengo lilikuwa la Tanesco au Lilikuwa limekodishwa na Tanesco.. Kwa kifupi Mwenye Umiliki wa Jengo lile siyo Tanesco Tanesco wanalipa Kodi hicho kilimuuzi Mkuu tangu akiwa Waziri...
Acha story za kijiweni lile ni jengo la Tanesco na ni mali ya umaAlikuwa amekodi kwa Mwenye Jengo ambayo kwa taarifa za kunyapia nyapia siyo Goverment...
Wasomi Tz na mkulu wanatusaliti wanachi .kututia hasara hasaara na kutukandamizia kwenye umasikini
unapiga mayowe sasa lkn siku interchange itafunguliwa utakuwa wa kwanza kukenua meno na kushangiliaWasomi Tz na mkulu wanatusaliti wanachi .kututia hasara hasaara na kutukandamizia kwenye umasikini
Hakuna uhusiano kati ya jengo hilo na mitambo ya umeme wasitake sifa wakidhani tu wajinga kiasi hicho.
Jengo lao? Ni lipi hilo
Jengo sio la tanesco hilo mbona wagumu kuelewa? Wewe ujenge au ujipangishe..muulize raisi anajua jengo ni la nani. Na hakuna sehemu tanesco wamesema jengo lao wao wanasema jengo zilipo ofisi za makao makuu ya shirika hiloInawezekana Tanesco walijenga kwenye kiwanja hicho kwa ujanja ujanja tu ? hilo haliwezekani kuna wizara / idara ndio ilipima hicho kiwanja na kuwapa hati - naona hapo ndio kuna tatizo na jipu halijatumbuliwa hapo au kama limeisha kufa litajwe tu
Kwa hiyo kutokana na hiyo barua, tanesco wanalivunja jengo la kampuni nyingine?Kwani lile Jengo lilikuwa la Tanesco au Lilikuwa limekodishwa na Tanesco.. Kwa kifupi Mwenye Umiliki wa Jengo lile siyo Tanesco Tanesco wanalipa Kodi hicho kilimuuzi Mkuu tangu akiwa Waziri...