Bikira maria alikuwa anakaa Tanzania?kila sehemu ina mavazi yake kutokana na mazingira sio mnaiga tu ilimradi waliowaletea dini huko kwao ndo wanavaa hvyo..
makanzu,baibui ni mavazi tu ya sehemu yalipotokea ni km mmasai na lubega
Mkuu mtitu aliyebeba mwili na mwenye kampuni ya game 1st quality ni watu wawili tofauti.
Na huyo tajiri wa 1st quality sio muigizaji na huwa haonekani,wengi hatumjui
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.