Cheche Mtungi
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 2,619
- 771
VictoireTukana utakavyotukana,hayo ni maneno tu,hunijui sikujui,mnapractice ngono zembe mnategemea nini?mmekuwa wapenda ngono utafikiri ndo uhai wenu,no wonder BOTHA aliwaambia kazi yenu ni kupenda ngono na masherehe,UKIMWI NDO KIBOKO YENU
===>Muombe sana mungu akunusuru na ugonjwa huu,unaweza ukabana,ukawa mwaminifu kwenye ndoa yako ila mwenzako akanaswa kwenye tundu bovu ambapo sidhani kama akirudi nyumbani mtafanya mapenzi na kondomu,muombe mungu akunusuru na usiuhukumu hata siku moja kwenye hii ishu ya UKIMWI.
Last edited by a moderator: