Recent content by Muke ya Masai

  1. Muke ya Masai

    JamiiForums Tanzania Natafta rav 4 yenye milango mi 3

    Ipo kama upo serious tafadhali piga namba hii: 0767 303016
  2. Muke ya Masai

    JamiiForums Tanzania Majigambo ya Mtoto wa Rais na 'Precedents' za Viongozi Watangulizi

    Asilimia za ushindi zinashuka kila baada ya miaka 5...... mwisho wao haupo mbali....
  3. Muke ya Masai

    JamiiForums Tanzania Kwa hili tukio la leo, ITV wasiachwe hivi hivi, wachukuliwe hatua za kisheria

    Hivi wewe umeangalia Star Tv .....??? TBC inayoendeshwa kwa kodi zetu je....?? tuliza muhemko ...
  4. Muke ya Masai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama unatafuta mke Tayana huyu hapa

    Ameacha kuvuta SIGARA???
  5. Muke ya Masai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kigezo gani kinaipa uzito ndoa ya kanisani isivunjike katika dunia ya sasa?

    Tatizo la kuzaa lipo kote kote kwa mwanaume na kwa mwanamke, suala la uzinzi pia ni kwa wote naona mmekazania WANAWAKE TUUU... "UZINZI NA KIFO TU NDIO KINACHOVUNJA NDOA YA KANISANI".
  6. Muke ya Masai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenye thamani

    Sio kweli kabisaa, sioni cha kukumbuka kwani ukibikiriwa ni maumivu tupu, sijui unakumbuka maumivu au unakumbuka aliyeanza kukuingilia...
  7. Muke ya Masai

    JamiiForums Tanzania Niko kwenye Jeshi la akiba la wanajeshi wa Tanzania, Utaninyimaje haki ya uraia EX-POLICE wako?

    RAV 4 aina gani milango 5 au yeyote toa maelezo vizuri
  8. Muke ya Masai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Lady ulie ndani ya ndoa ni hatua gani utafanya kuhusu michepuko

    huyo mwanaume kiboko, amezini na ushahidi wa message upo halafu yeye ndio ananuna, hata kama angeziona message kwa kupekua simu ya mumewe KOSA NI KUWA ANAZINI, Muitie wazee huyo... ukimwacha hivi hivi atazoea
  9. Muke ya Masai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake Acheni kulea wanaume .Ni dhambi biblia inasema

    kwetu kule Olduvai ukipatia mwanaume pesa unakufa...!
Back
Top Bottom