Recent content by Mujanjabi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa ACT - Wazalendo Kibaha, June 28, 2015

    wanaangaika hawana sela
  2. M

    JamiiForums Tanzania SAKATA LA ESCROW: Ole Naiko ajitetea Hakujua kama amewekewa Mamillioni

    acha uongo ww kwa nn asiweke kwangu iwe kwa ww tajili mwenziea danganya watoto
  3. M

    JamiiForums Tanzania ZINGATIA-Mnaoweka matangazo ya kazi humu

    Mtoa mada umenena
  4. M

    JamiiForums Tanzania Chezea CHADEMA weyee! Makamba, Mkama, Kinana OUT..2015 CCM Out

    Kazi ipo
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye

    lakini mbona anafanya kazi kama mtu wa darasa la pili.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Dr Harrison Mwakyembe atua Tabora kwa gari moshi leo

    hivi waliotaka kumuuwa hodari wetu wameshachukuliwa hatua?.
  7. M

    JamiiForums Tanzania CCM vyeo vya mwenyekiti wa taifa na makamu zake kwanini huwa hawana mpinzani?

    Unaongea utumbo tu ww mm mwenyewe nimepiga kura ya hapana
  8. M

    JamiiForums Tanzania Sasa nahama CCM

    Hata hatuitaji coz tunajitosheza na wala hata huna umuhimu wowote.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Philip Mangula ateuliwa kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM

    Mm ningelikuwa Mangula nisingelikubali,nimgelimwacha amalize muda wake kwa alivyonifanyia hapo nyuma.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Majina ya wauza Madawa ya Kulevya: Kikwete anayo!

    Riziwani kikwete naye ni miongoni mwao,alikamatwa china,alikamatwa na mzigo wa sh bil 4 bila Jk kufunga safari mtoto alikuwa anapoteza maisha.acha kwenda yy ilibidi atoe sehemu Tanzania yenye gesi kwa ajili ya wao kuja kufua,coz rahisi wa china aliuliza je nitafaidika na nn Tanzania.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Said Meck Sadik ndie Amiri jeshi wa Tanzania?

    Acha kukuza mambo na ww!!.ulitaka iweje?.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kikundi cha Waislam chatawanywa kwa mabomu Mnazi mmoja - Dar

    Ni ukosefu wa akili tu,wao kuchoma makanisa na wakristo wakiamuwa kuandamana itakuwaje?.ni ukosefu wa ustarabu na elimu pia,mtu uliyekamilika huwezi fanya kitu kama hicho!,
  13. M

    JamiiForums Tanzania Watoto wa vigogo waiteka UVCCM!

    Tuongee ki uhasilia kama ungelikuwa ww utaacha mwanao ateseke?.kwani kuna mtu anayependa mwanae apate shida?.
Back
Top Bottom