Khakha
JF-Expert Member
- Jul 15, 2009
- 2,982
- 1,009
wakuu JF,
ninasoma gazeti la mwananchi la leo tarehe 20 oktoba ukurasa wa tatu kwenye kipengele cha 'uwepo wa jwtz'. headline ya leo gazetini ni khs kadhia ya jana dar na znz na kutumika kwa JWTZ kutuliza kadhia ya jana. ktk ukurasa huo nimesoma paragrafu isomekayo km ifuatavyo-
'hata hivyo, habari kutoka ndani ya jeshi hilo(hapa ni jwtz) zinasema kuwa ombi la kuwapo askari hao(wa jwtz) kulitokana na ombi laRC wa dar es salaam, said mecky sadik ambaye aliomba liwe tayari kusaidia endapo polisi wangezidiwa.
wadau nauliza, hivi ma RC wanatoa amri mpaka majeshini kuwa yakae tayari?