Recent content by Muisraeli

  1. Muisraeli

    JamiiForums Tanzania Bank account na HELSB

    Atapata lakini atachelewa, kwa sababu otabidi waverify huko heslb hiyo akaunti yake mpya, mimi pia niliwahi kuwa na case hiyo... tho inaweza kuchukua mpaka wiki mbili au tatu tangu wengine wapate kwa boom la kwanza, ila halafu inakuwa kama kawaida.
  2. Muisraeli

    JamiiForums Tanzania Je, nikihitaji kusoma upya degree ya 2 ya HR au Public Administration, nitatumia miaka miaka 3 tena?

    Kasome postgraduate diploma ni mwaka mmoja!
  3. Muisraeli

    JamiiForums Tanzania Ogopa sana hili jambo kwenye Daladala

    Mfalme Juha!
  4. Muisraeli

    JamiiForums Tanzania FT: AFCON 2025 Qualification | Tanzania 0-0 Ethiopia | Benjamin Mkapa Stadium | 04-09-2024

    Huyu kocha kuendekeza waswahili kutatuponza, miaka yote waswahili walitukwamisha, kwanini hakuwaita diaspora awamu hii, kama timu ndo inacheza hivi
  5. Muisraeli

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Fabrizio romano wa JF, tupo pamoja mkubwa..
  6. Muisraeli

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Nyau nyau hadi sahivi
  7. Muisraeli

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Tapeli!
  8. Muisraeli

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Lete kazi mkuu
  9. Muisraeli

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Mkuu tuma tena hatujaona.
  10. Muisraeli

    JamiiForums Tanzania Licha ya Kibamia, eti ameoa! Uchawi wa kimapenzi

    We si alikudinya. Na huyo atadinywa tu
  11. Muisraeli

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    🙏🙏🙏
  12. Muisraeli

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Mambo ni 🔥, kwelikweli...
  13. Muisraeli

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Watu wa uraiani lonja yao vipi?
Back
Top Bottom