Recent content by Muhume

  1. M

    JamiiForums Tanzania UTT AMIS vs DSE – Ni ipi bora kwa uwekezaji? Nisaidiane kufahamu

    Kwa uzoefu wangu haiwezi pungua 7.5m
  2. M

    JamiiForums Tanzania Dawa gani sahihi ya kutokomeza majani shambani?

    Round up kiboko yao ila be careful zipo fake pia
  3. M

    JamiiForums Tanzania Sababu za kuwekeza kilimo cha cocoa Tanzania

    Tena mjinga sana huyu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mwonekano wa Counter yangu

    Mshana Jr Tupe location kaka
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata soko la pumba za mahindi na mashudu kama unahitaji

    Kama unahitaji kukusanyiwa pumba za mahindi na mashudu kwa bei nafuu kasema kama unahitaji kukusanyiwa sio kwamba anayo
  6. M

    JamiiForums Tanzania Virutubisho vya nguruwe vinavyo fanya vizuri ni max pig

    Nicheck inbox
  7. M

    JamiiForums Tanzania Virutubisho vya nguruwe vinavyo fanya vizuri ni max pig

    Upo wapi?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo Cha parachichi wilayani Rungwe

    Hujaeleweka
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nikitaka kujiunga UTT Amis ni lazima niende ofisini kwao?

    But siku za nyuma CRDB bank walikuwa wakala wao ila nasikia na wao wameanzisha mfuko kama huo wa UTT so not sure kama wana offer huo uwakala
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nikitaka kujiunga UTT Amis ni lazima niende ofisini kwao?

    Bukoba hawana ofisi
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nikitaka kujiunga UTT Amis ni lazima niende ofisini kwao?

    Je unapofungua akaunti ya UTT AMIS kuna gharama za awali ? Jibu: Hakuna gharama zozote unapofungua akaunti ya uwekezaji. Hakuna kiasi utahitaji kulipia kwa kufungua akaunti ya uwekezaji. Ila kama unataka uanze uwekezaji hapo ndo kuna kiasi cha kuanzia kulingana na mfuko unaowekeza Mfano Umoja...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nikitaka kujiunga UTT Amis ni lazima niende ofisini kwao?

    Je ni mfuko gani mzuri wa kuwekeza UTT AMIS ? Jibu: Mifuko yote mizuri kulingana na lengo anayewekeza anawekeza kwa malengo yepi. Hivyo mwekezaji inabidi ajue lengo lake la uwekezaji ni lipi na hili litampa mwanga wa aina ya mfuko wa kuwekeza. Kabla hujawekeza pata elimu, jua malengo yako...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nikitaka kujiunga UTT Amis ni lazima niende ofisini kwao?

    Idadi ya mifuko hadi sasa ni 6: Ukwasi| Jikimu| Wekeza Maisha | Umoja | Hatifungani | Watoto. 1. Sasa unaweza kuuza vipande vyako kwa njia ya menu ya simu, siminvest *150*82#. Nenda eneo wameandika "Kuuza Vipande". Ukomo ni milioni 2 kwa siku. 2. Ukishafanya zoezi la kuuza au kutoa hela basi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nikitaka kujiunga UTT Amis ni lazima niende ofisini kwao?

    Download app, jisajili na anza kuweka michango yako humo. Baada ya hapo utahitaji kudownload form yao unajaza particular zako na kuituma kwa email au ende physically ofisini kwao. Maelezo yote haya yapo kwenye website yao
  15. M

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje Rais anapokataa kuishi Dodoma?

    Ikitokea hivyo inabidi na wewe utwambie kwa nn unataka akae Dodoma wakati kila mkoa kuna ikulu ndogo? Ila ukiona hujaridhika mshitaki kwa uongozi wa juu yake
Back
Top Bottom