Recent content by MUHUMAMBELE

  1. M

    JamiiForums Tanzania Katiba: Hivi wewe ukiwa ni mbunge unaejua kusoma na kuandika tu utafanyaje hapa?

    MKUU ukisoma pcb ndo unajua kilimo?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Urefu kuwa ni kigezo muhimu cha kujiunga na Jeshi

    Mleta mada wewe mrefu au mfupi? Halafu ukijibu nitatoa maoni yangu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa, mazoezi ya picha ya nini na unamuonesha nani?

    Umejidhalilisha au kuwadhalilisha waandishi wa habari, mana sioni logic hapa! kampeni chafu znatumaliza na tunajigawa, eti mm wa ... jm
  4. M

    JamiiForums Tanzania hongera Jaja wa yangu kwa kupigwa na mtibwa 2 kwa 0

    JAJA mwisho mnazi mmoja, moro kila mtu meximeee! teh teh
  5. M

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuomba ajira ya ualimu wa sekondari Serikalini

    Unaandika barua tamisemi. over
  6. M

    JamiiForums Tanzania Makavu live kwa mnaoenda vyuoni

    Kwa mada kama hizi acha c.c.m watawale milele, mtu anatoka huku kanywa viroba anabwabwaja tu! jenga hoja hao uliowasifia wamesoma wapi? unaelekea umefeli elimu na maisha pia, mbona cjasoma huku chuo lakn cna kama wewe? nadhan jf si wote wanafikiri xana wewe m1 wao.
  7. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Jamani afisa kilimo ii anayetaka kuja handeni mimi niende kilolo, mufindi, iringa v, ir mjini. 0753235211
  8. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo kilolo nije handeni.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wasomi wa Tanzania wamechanganyikiwa na umaskini

    Jamani kwa akili ya mleta mada naona kweli wtz wavivu kufikiri kama alivyowah kusema mkuu, yaani yeye anajua elimu ni utajiri na kukosa elimu wawa maskini. mbona babu yangu hakusoma na tajiri zaidi yako wakati wewe std 7 maskini.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wasomi wa Tanzania wamechanganyikiwa na umaskini

    duuuu vp wa msc, phd, form 4, form 6 na wasomi wengne matus yao ? ukiondoa wewd la 7 unayemiliki prado. yaan wewe ingawa cna utafiti una matatzo kwenye yako!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Avatar na jina lako, ulifikiria nini?

    MUHUMAMBELE ni mtu aliyetoka nyuma lakini akafika anakotakiwa kufika, namshukuru MUNGU nilitoka nyuma lakini nimefika, wapi ni siri yangu na MOLA TU.
  12. M

    JamiiForums Tanzania John Mnyika kupitishwa kwa hila Ubungo

    Wanachama wakienda act wewe unaugua?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa alifuata nini Iringa?

    Kwani wewe ulialikwa mkuu? kuna vigezo walivyotumia mkuu.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa alifuata nini Iringa?

    Mbunge wa kigeni ni nani? na mbona askofu alishasema kuwa mhe. alialikwa kama waalikwa wengine. taabu ni nn jamani? e.l juuu
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nina mashaka na uwezo wa Godless Lema

    Nami nina wasiwasi wa uwezo wa mleta mada, ! unafikiri alaumiwe nani. brn hii.
Back
Top Bottom