Recent content by muhomakilo jr

  1. muhomakilo jr

    JamiiForums Tanzania Mtu unamheshimu vizuri tu alafu anaomba 'connection' kwenye Group! Ingekuwa ni ndugu yako ungeomba?

    Tunajifunza vingi kupitia hizo connection...Elimu haina mwisho eti.
  2. muhomakilo jr

    JamiiForums Tanzania Usaliti ni laana, Henry Kilewo aachana na siasa

    😀😀
  3. muhomakilo jr

    JamiiForums Tanzania Usaliti ni laana, Henry Kilewo aachana na siasa

    Ni huyu ni mtu mzima, itakuwa ametafakari kwa kina juu ya maamuzi yake!...
  4. muhomakilo jr

    JamiiForums Tanzania Pesa ikishakua sio tatizo, hafu umri umeenda enda, unanunua zako camper van au RV ku-enjoy trips

    😀😀Sasa wakibanwa wafanyeje?. wanafakamia sana mavyakula njiani...Akipita wa Sambusa lete, Mahindi lete, matokeo yake ndiyo hayo.
  5. muhomakilo jr

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz: Hekaheka unazonipa baadae unilete mahari uchwara utakula kofi

    Wa kike wanatunza baba zao sio wa kiume.
  6. muhomakilo jr

    JamiiForums Tanzania Wanafanyaga mazoezi muda Gani?

    We unaoa lini?...
  7. muhomakilo jr

    JamiiForums Tanzania Unadiliki kulia mbele ya mwanamke kisa mapenzi alafu mwanamke mwenyewe anakuchukua video anakupost mitandaoni. Hivi huwa mnayapendea nini magube gube?

    😀Huwezi juwa, Ukipewa mgongo halafu kinanda unalia mbona...Usicheze na mnato kijana.
  8. muhomakilo jr

    JamiiForums Tanzania Kwanini Makonda asijenge Muslim University badala ya Msikiti wa zaidi ya Tsh. Bilioni 2 pekee?

    Mwandishi mwandamizi akiandika utumbo wake....Inasikitisha.
  9. muhomakilo jr

    JamiiForums Tanzania Mwalimu aliyemuumiza Mwanafunzi kwa fimbo na mateke akiri kosa kwenye simu, asema waandishi wanatafuta 'Followers'

    Hawa walimu hawa!, Bint wa jirani yangu alichapwa fimbo za mikono, kipande cha fimbo kikaruka na kupiga jicho, Aisee, tatizo likawa kubwa, jicho linatoa maji huku shule inamficha mzazi wakiangaika na matibabu, hadi mzazi anajulishwa ni to late...Bint akapelekwa India, haikusaidia mpaka leo jicho...
  10. muhomakilo jr

    JamiiForums Tanzania Mwanaume mbele, Mwanamke nyuma! 😳 Kuna nini kinaendelea kwenye Bodaboda siku hizi?

    Dunga Dunga wamerudi kwa kasi sana...
  11. muhomakilo jr

    JamiiForums Tanzania Breaking news: ndege yatua na tumbo Kilimanjaro airport

    Hii Ndege ndogo ya EM120 imetua kiwanjani hapo saa tano na dk 50 asubuhi, na kuondolewa saa kumi na dk 16 jioni na kusababisha kiwanja kifungwa kwa muda......Sasa tatizo kama hilo likitokea kwa ndege kubwa kama B787, B777 au 747 si itachukua siku kadhaa?...Yale mazoezi ya dharula ambayo...
  12. muhomakilo jr

    JamiiForums Tanzania Wizi wa wauza kuku wa kuchoma na kukaanga kwenye firigisi ukomeshwe.

    😀Mafala sana, nami niliagiza kuku mzima wa kuchoma, nikapewa bei nikalipia, anakuja mezani hakuna filigis na shingo!...nawauliza mbona sioni fligisi na shingo wananiambia hizo zinauzwa tofauti.. pumbavu sana.
Back
Top Bottom