Recent content by Muhode

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Selimundu (Sickle Cell anaemia): Dalili na matibabu yake

    Asante Kiongozi kwa ushauri
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Selimundu (Sickle Cell anaemia): Dalili na matibabu yake

    From deep down my heart,real i do appreciate your advice ndugu.This is more than advice and i feel like something energetic in my heart.thanx and God bless you.Iwill work on that.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Selimundu (Sickle Cell anaemia): Dalili na matibabu yake

    tatizo hili halihusiani na blood groups.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Selimundu (Sickle Cell anaemia): Dalili na matibabu yake

    Ameline "huwa wanasema hata mtoto akitibiwa vipi mwenye sickle cell hawez kuishi zaid ya miaka 15 ikizid ni bahati sana..wengi hupoteza maisha wakiwa na umri mdogo wa miaka 5-8". Nyangomboli "Circle cell hainaga tiba japo akifikisha miaka 15 wataalam wanasema yaweza pungua au kuisha. Nani...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Selimundu (Sickle Cell anaemia): Dalili na matibabu yake

    Nashukuru sana mkuu kwa ushauri na maneno yako yenye faraja kwangu.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Valentine day na meseji za kuforward

    Habari Jana ilikuwa ni siku ya valentine.Watu wengi hasa wapenzi wamekuwa wakitumiana meseji zenye kuonyesha jinsi gani kila mmoja anavyompenda/kumjali mwenzake.Tatizo ni kwamba meseji nyingi sio original,yaani ni za kuforward.Je aina hizi za meseji zinamaana yoyote kwa unayemtumia? Kwa maoni...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Selimundu (Sickle Cell anaemia): Dalili na matibabu yake

    Habari ndugu, Nina mtoto wangu wa kike mwenye umri wa miaka miwili sasa.Tangu alipozaliwa alikuwa na matatizo ya upungufu wa damu(anaemia) na baadae kugundulika kuwa ana tatizo la sickle cell (Hbss).Kwa sasa anaendelea vizuri baada ya kuanzishiwa cliniki pale muhimbili. Kwa maelezo ya daktari...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi za walimu 2014

    Habari wadau, Jamani kuna yeyote mwenye taarifa rasmi juu ya lini serikali itatangaza post za kazi za walimu kwa mwaka huu?,maana kumekuwa na taarifa nyingi juu ya tarehe hiyo.Watu wamechoka sana huku mtaani,yaani hata vocha imekuwa tabu. Asanteni
  9. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kupotea kwa vyeti vya kidato cha 4 & 6

    Habari ndugu wanajamii, Nimepotelewa na vyeti vyangu vya baraza (form 4 na form 6) kama miez miwili au mitatatu hivi.Kwa kipindi chote hicho nimekuwa nikivitafuta bila mafanikio.Kutokana na hilo naomba kujuzwa kwa yoyote yule anayefahamu kuhusu mambo yafuatayo. 1.Kujua utaratibu wa baraza juu...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hi to all.

    This is my first time kushirki na wana JF,kila la kheri katika kulijenga taifa hili. Thanks Rama Muhode
Back
Top Bottom